Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,043
- 8,686
Hizi dua za Kuku, konde kawashika pa kunyea mnaruka ruka tuUmeongea point ambayo wengi hawaisemi.
Harmo atapoteza mashabiki na ashanza kuwapoteza. Sijaangalia lkn nadhan insta follows zake zitaanza kushuka chini. Anasahau mashabiki wa wasafi ni watu aina gani.
A wise person chooses his battles carefully