Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Anasema aliuza nyumba yakeHizi figure wanazotaja huwa wanazo au kiki, harmonizer mm sikujua gari anatembelea AUDI tena bado bora ingekuwa yake ni ya x wake sarah, na kampokonya. Kuna rumous wazaz wake huko ntwara hawana chochote mfukoni! Nahisi kwa sasa harmonizer hana hata gari moja.
Hizo milion 500 zilotokea wap?
Hawa watu wanaishi maisha ya drama sana ndio shida yao, mwisho wa siku wakipata shida watu hatushtuki tukijua wana hela kumbe hakuna kitu