abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,296
Yes kwel Yan Leo ndio nakuja kuamin kua Harmonize bado ni Wcb Sema Wana leta ujanjaMmhh kweli kaka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes kwel Yan Leo ndio nakuja kuamin kua Harmonize bado ni Wcb Sema Wana leta ujanjaMmhh kweli kaka?
Mahakama ipi boss??? kama n kisutu endeleaa na ishu zako tuuuu.Ikithibitika Paula ni mtoto chini ya miaka 18 Jamhuri itamfunga Rayvanny kifungo cha siyo chini ya miaka 30.
Harmo mzee wa "yudebasti mai medulla" [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Nani kakudanganya huyo Paula yupo chini ya miaka 18 au udandia train ebu ifatie hii issue alafu njoo Tena uandikeWala sitanii, ikithibitika umefanya ngono na mtoto chini ya miaka 18 unafungwa.
Mimi nataka huyu msanii na washirika wake wafungwe ili liwe fundisho kwa wahuni wengine.
Huwezi kufanya ufedhuli kama huu na kitoto, kisha ukajirekodi na kutuma mtandaoni ni ushenzi (barbarism)
Kwasiku unakata gogo malangapiWala sitanii, ikithibitika umefanya ngono na mtoto chini ya miaka 18 unafungwa.
Mimi nataka huyu msanii na washirika wake wafungwe ili liwe fundisho kwa wahuni wengine.
Huwezi kufanya ufedhuli kama huu na kitoto, kisha ukajirekodi na kutuma mtandaoni ni ushenzi (barbarism)
Huyo mtoto siyo minor.As the matter of principle kufanya ngono na mtoto mdogo (A minor) ni kosa la ubakaji,
Lazima hili lisemwe na lipelekwe mahakamani ili uwe mfano kwa wengine hapa Tanzania.
Kesi kama hii ikiletwa kwangu mimi POSITIVIST huyo Rayvanny na Hamisa watachezea nyundo nyingi sana.
Amefanya collabo na Ali Kiba?Harmonize amepata pakuwa jeruhi Wasafi, aitumie hio nafasi vizuri au lasivyo ikipita ataikumbuka.
Ila na yeye ajipange, wale hawatatulia lazima watamtafutia scandle ya revenge.
Hii sinema ndio kwanza trailer, yajayo yanafurahisha sana.
Labda yule "Jeshi " ambaye Yesu Kristo alimtoa pepo wakakimbilia kwa kundi la nguruwe.J E S H I
Wasafi kupitia kwa Rayvanny wame mgegeda na kumnywesha pombe mtoto wake wa mkopo anaesoma form 5 (Mtoto Wa Kajala), na kumrekodi kideo kisha kutupia instagram.Amefanya collabo na Ali Kiba?
Khaaaa! Dunia simama nishuke tafadhali.Wasafi kupitia kwa Rayvanny wame mgegeda na kumnywesha pombe mtoto wake wa mkopo anaesoma form 5 (Mtoto Wa Kajala), na kumrekodi kideo kisha kutupia instagram.
Sasa baba wa kambo Harmonize anataka kumfunga Rayvanny miaka 30 kwa kutembea na mwanafunzi (mwanae wa mkopo).
Hizi figure wanazotaja huwa wanazo au kiki, harmonizer mm sikujua gari anatembelea AUDI tena bado bora ingekuwa yake ni ya x wake sarah, na kampokonya. Kuna rumous wazaz wake huko ntwara hawana chochote mfukoni! Nahisi kwa sasa harmonizer hana hata gari moja.Naona anataka kuwatoa upepo ili afidie zili milioni 500 za yeye kuvunja mkataba
Unapeleka vipi kwenye Deski la Jinsia na Watoto?! Mtoto hapo ni nani?!Sasa walienda police (Harmonize na Kajala) kuandikisha malalamiko yao kwenye deski la jinsia na watoto, Rayvanny akakamatwa kisha akaachiwa kwa dhamana.
Yalioendelea huko police baada ya hapo hatujui, kama Rayvanny amekutwa hana kosa au wakubwa wameingilia kati na kuifuta kesi ya Rayvanny, ila ndio tunashangaa Harmonize amemtafuta huyo dada mtetezi wa haki za wanawake na watoto, waandae maandamano kwa kutumia wananchi nje ya ofisi za Wasafi Dar kupinga na kulaani kitendo kile alichofanyiwa mtoto wa kajala (Aliezaa na P-Funk).
NGO yake ya msichana initiative imeshindwa wasaidia wasichana kazi kula za wafadhili naona amehamia kwenye mapenzi ya watu.Akumbuke Paula sio mwanafunzi batch yake ilishatoka na yeye alikuwa private candidate Yuko nje ya mfumo yasije mgeuka huko mbeleni na huyo chinga.Huyo gyumi kakosa kazi!
Mzee, muziki unalipa, unachohitaji ni fan base tu jambo ambalo kwa WCB sio tatizo. Harmonize wakati yupo WCB kupata Views 5M+ za Youtube ilikuwa kawaida sana na ana total views zaidi ya 300M+! Kwenye hizo 300M+ peke yake anakula hiyo 500M na zaidi, hapo bado hujahesabu pesa za ambassadorship, shows na streaming. Usione wasomi tumepigika ukadhani kila mahali kuna njaa kama kwa wasomi. Na ndo duniani kote ipo hivyo. Kazi unazoweza kuona ni za kifala fala ndo hizo hizo watu wanatengeneza millions huku msomi akibaki na midigrii yake inayomwingiza 500K to 2M kwa mweziHizi figure wanazotaja huwa wanazo au kiki, harmonizer mm sikujua gari anatembelea AUDI tena bado bora ingekuwa yake ni ya x wake sarah, na kampokonya. Kuna rumous wazaz wake huko ntwara hawana chochote mfukoni! Nahisi kwa sasa harmonizer hana hata gari moja.
Hizo milion 500 zilotokea wap?
Hawa watu wanaishi maisha ya drama sana ndio shida yao, mwisho wa siku wakipata shida watu hatushtuki tukijua wana hela kumbe hakuna kitu
Paula ni 18+, na tena anakimbilia 20 hivi sasa.As the matter of principle kufanya ngono na mtoto mdogo (A minor) ni kosa la ubakaji,
Lazima hili lisemwe na lipelekwe mahakamani ili uwe mfano kwa wengine hapa Tanzania.
Kesi kama hii ikiletwa kwangu mimi POSITIVIST huyo Rayvanny na Hamisa watachezea nyundo nyingi sana.