MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
He’s mentally challenged, au laana ya kutafuna jimama inamtafuna!!Is Harmonize on drug or something?
Umeongea point ambayo wengi hawaisemi.Mmakonde mwehu kabisa, anaweza akajikuta anapoteza mashabiki hivi hivi
Kwa kuwa unaongea kwa utani sikulaumuAs the matter of principle kufanya ngono na mtoto mdogo (A minor) ni kosa la ubakaji,
Lazima hili lisemwe na lipelekwe mahakamani ili uwe mfano kwa wengine hapa Tanzania.
Kesi kama hii ikiletwa kwangu mimi POSITIVIST huyo Rayvanny na Hamisa watachezea nyundo nyingi sana.