Ngoma bado mbichi kabisa, Harmonize na feminist Gyumi wameandaa maandamano makubwa Wasafi HQ

Umeongea point ambayo wengi hawaisemi.

Harmo atapoteza mashabiki na ashanza kuwapoteza. Sijaangalia lkn nadhan insta follows zake zitaanza kushuka chini. Anasahau mashabiki wa wasafi ni watu aina gani.

A wise person chooses his battles carefully
Hizi dua za Kuku, konde kawashika pa kunyea mnaruka ruka tu
 
Nimeona video Harmonize anahojiwa, yaani kila sentensi mbili anatupia humo na kimombo. Sasa hicho kimombo chenyewe sasa, we acha tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mchungu wa mwana aujue mzazi aliye taka kuonja utamu wa mwana.

🤣🤣🤣

Hivi yaliishia wapo haya mamdamano.
 
Harmonize amepata pakuwa jeruhi Wasafi, aitumie hio nafasi vizuri au lasivyo ikipita ataikumbuka.

Ila na yeye ajipange, wale hawatatulia lazima watamtafutia scandle ya revenge.

Hii sinema ndio kwanza trailer, yajayo yanafurahisha sana.
uliona mbali...
 
Harmonize amepata pakuwa jeruhi Wasafi, aitumie hio nafasi vizuri au lasivyo ikipita ataikumbuka.

Ila na yeye ajipange, wale hawatatulia lazima watamtafutia scandle ya revenge.

Hii sinema ndio kwanza trailer, yajayo yanafurahisha sana.
Jicho lako la tatu ni binocular, salute kwako. Game limegeuka, watoto wa town wataalam wa ku twist mambo hawakulala mpaka dogo kutoka Chitoholi akapotea steps na kuingia kwenye mtego wao.
Sasa wale aliotaka kuandaa maandamano kwa ajili yao ndiyo hao hao wanataka kuandaa maandano dhidi yake kwa 'ufedhuli' aliounyesha kwa 'minor' kumsababishia kuota ndoto za majinamizi.
 
😀😀
 
Kakusikia kisha anzisha NGO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…