Ngoma Inogile: Wapangaji sasa kulipa asilimia 10 ya kodi TRA

hizi tozo kama kuna mtu anajua zinaenda wapi naomba aniambiee
[emoji23]utajua tu,ukiona zile lc300 model utajua tu Zina enda wap,we Rudi jukwaa la kimasihara tuburudishe stress zitutoke.
 
Hahahahah hio TAX mi nikilala nazalisha nini hapo nyumbani? Nawasubiria kwa hamu na nimejiandaa kulala mahabusu safari hii!
🤣🤣Mkuu usipokuwa makini Unaweza fungwa jela maisha!unapobishana na sirikali lazima uwe umeandaa nauli ya kuvuka mipaka ya nchi.
 
Watanzania wanaonja joto ya jiwe kwa viongozi ambao hawakuwachagua.
 
Hizi tozo sasa zimezidi
Unalipa kodi ya flame
Unalipa kodi ya biashara
Unalipa 10% ya kodi ya jengo
Serikali tuoneeni huruma wananchi wenu
 
Mbona hii kodi ipo siku nyinhi tu?
Nadhani tangu awamu ya nne, ya tano na sasa sema hapo nyuma ilikuwa haifatiliwi, tulipeni kodi kwa maendeleo yetu wenyewe 🤣
 
Mzigo unakwenda kwa mpangaji, kwamfano, mimi nataka mpangaji anilipe 100K kwa mwezi, kwa sheria hii nitalipwa 90K, ili kumentain 100K yangu nitampandishia kodi na kuwa 110K
 
Mzigo unakwenda kwa mpangaji, kwamfano, mimi nataka mpangaji anilipe 100K kwa mwezi, kwa sheria hii nitalipwa 90K, ili kumentain 100K yangu nitampandishia kodi na kuwa 110K
Kwenye suala la mpangaji bado elimu inahitajika sana, kinachokwenda kutokea ni housing rent to sky rocket

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hii ndio ile nokupe risiti nikupandishie bei au nisikupe risiti nikupunguzie
 
Wana paswa pia wawajulisbe na wenye nyumba zao pia
 
Wajipange, mwenye nyumba kodi yenyewe anaipata kwa kusua sua😄😄😄
 
Ina maana mm nitachukua majukumu ya kwenda kumlipia kodi ya mapato mwenye nyumba ili hali sijui hio nyumba kama imeshafanyiwa tathmini?.....hivi hawa wasomi wetu wanafikiriaga kwa kutumia makalio ama nin?...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…