vyema sana..."" nasijapinga pia kuwa sebene lipo "" but limepigwa kwenye chorus pekee.....sasa hao wanakuja jumla nakusema kuwa ni sebene wakati nyimbo "" inavionjo vingi vya kiafrica...that's why nikasema ni afropop...kwa sababu huwezi kuiita sebene kwa vionjo vilivyopo tu kwenye chorusUnaifaham afro pop vizuri mkuu kuna vionjo vya sebene kwenye huo wimbo
Mpya ya leoWimbo upi huo?
Sio mbaya iko poaMasaa manne tangu kuachiwa kwa ngoma mpya ya mvumo wa radi hatimaye wimbo huo umevunja rekodi kwa kujikusanyia vies 170K (170,000).
Rekodi hii inawekwa ikiwa wimbo huo haujapata promo yoyote.
HONGERENI SANA ALI KIBA KWA REKODI MPYA.
Namshangaaa! Kavunja rekodi ipi na ya nani???Hv ww unajua nn kuhusu rekod za youtube mkuu???
Sure juzi tulikuwa naye studio anarekebisha beat la krizbeats na kurekodi ngoma mpya balaa tupu humo ndani tukawa tunapitia Jf kucheki memba wanasemaje.Hahaha
hahaaaa ..we are always back to the top......yooooohhhhhhngoma classic kwa sie wahenga.....
nzurii sana!! ila SIO kwa vijana ambao hawaja maliza balehe
hahaa yaweza kuwa aiseeeeHamjaelewa jamaa anaongea kinyume
hahaaa alaa kumbe ""Diamond yupo humu Jf ila jina siri yetu. [emoji23]
mambo niiiiiiii......mo firehahaaaa ..we are always back to the top......yooooohhhhhh
Aaargh siyo vyema kutoa siri wacha nimtunzie siri. [emoji17]Nipe code izo
Aaargh siyo vyema kutoa siri wacha nimtunzie siri. [emoji17]Nipe code izo
mwanaume ndio anapaswa kusema hivi sasa ...kwenye mazuri huwa anachagua kuusimamia ukweli na kuuacha uongeeHuyu dogo mi simkubaligi ila wimbo wake huu ni mkareee
acha tu ndugu....kuna wimbo mmoja aliuimba leo clouds...hajauachia huo.dahhhhhh daaaahhh'' Jamaa NI hatari aisseemambo niiiiiiii......mo fire
huyu mtt anaujua muziki asee ""hapa stoki u tube hadi bando liishe it's a classic song brah
Jamaa anajichanganya kila kona, wacha nimsitiri kesho studio tukamalizie ngoma mpya ya mondi ni nomaa... [emoji41] [emoji441]hahaaa alaa kumbe ""
Jamaa anajichanganya kila kona, wacha nimsitiri kesho tukamalizie ngoma mpya ya mondi ni nomaa... [emoji41] [emoji441]hahaaa alaa kumbe ""
sawa ..mimi huwa napnda mziki mzuri ..kama ngoma atakayotoa itakuwa Kali ..basi nitaisaport pia....mbona hata kwangwaru naipnda pia...naipnda nyimbo Yke nyingine ile inayoitwa Pamela...ila hyo manyimbo mengine kama African beauty sijui " na ile ya kwenye harusi ..hapana nimewaachia wnyew mzisikileze aiseeJamaa anajichanganya kila kona, wacha nimsitiri kesho studio tukamalizie ngoma mpya ya mondi ni nomaa... [emoji41] [emoji441]