hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
vyema sana..."" nasijapinga pia kuwa sebene lipo "" but limepigwa kwenye chorus pekee.....sasa hao wanakuja jumla nakusema kuwa ni sebene wakati nyimbo "" inavionjo vingi vya kiafrica...that's why nikasema ni afropop...kwa sababu huwezi kuiita sebene kwa vionjo vilivyopo tu kwenye chorusUnaifaham afro pop vizuri mkuu kuna vionjo vya sebene kwenye huo wimbo