Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

Kazi ni nzuri kwakweli ila video jamaa huwa ananiangusha siku zote
 
Mkuu wabongo washazoea "inama inama"..
 
Video ameitendea haki bhn japo video nyingine huwa anazingua ila hii ni kali.. na kile kionjo cha katikati pale.. nzuri!
 
Yoooooooooh.. Kwa anayejua mziki mzuri na asiendeshwa na mahaba ya utimu, Mvumo wa Radi ni motoooooooooo..
 
[emoji23][emoji23] tuna elimisha vijana wanaleta mapenzi kwenye vitu vizuri..
Walitegemea kukuta "weka mate niteleze"
Hehehee mfalme haimbagi matusi hata usikilize nyimbo zake 10 huwezi kukuta matusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…