Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukuona mademu wakiwa watupu nini huku wamevaa nusu uchi maana ndio ugonjwa wa wengiKazi ni nzuri kwakweli ila video jamaa huwa ananiangusha siku zote
Watoto waliozaliwa 2000 hawawezi kabisa kumuelewa mfalmeHuu wimbo sio type ya nyimbo zangu. Imekaa kizee sana.
Alikiba inabidi asome Soko la vijana linataka nini. Type ya hizi nyimbo limeishapita, enzi za akina Fally Pupa.
NakaziaHakunaga nyimbo ya kizee wala ya ujana music ukiwa mzuri tu kila mtu anaupenda
Mkuu wabongo washazoea "inama inama"..Hamjaelewa! Yule jamaa anafany vitu kwa malengo.. ule wimbo ameutumia kutangaza kinywaji chake kipya cha MoFaya(kama umeangalia video utaliona hilo) na nyimbo ina maazi ya ki Afrika mpk dress codes zinaonesha.. wimbo unachezeka pia, unataka kufanana na ule Mwana Dar es salamaa.. ni kazi nzuri ya Man Walter..!!
[emoji23][emoji23] tuna elimisha vijana wanaleta mapenzi kwenye vitu vizuri..Nakazia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kuanzia Cinderella mpaka mvumo wa radi yaan ni mooooo[emoji91][emoji91][emoji91]Usinitenge kama napenda kula, do u remember?[emoji3]
Walitegemea kukuta "weka mate niteleze"[emoji23][emoji23] tuna elimisha vijana wanaleta mapenzi kwenye vitu vizuri..
Impact ya Mange Kimambi + Wasafi kutoa wimbo siku moja na Kiba iliyozaa huruma kwa Kiba ndio tofauti ya Seduce Me na huu wimbo wa sasa.f.l.a sn ww hata seduce me mlianza hivo hivo ila kilichotokea mkagawana kuni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio hapo mara sijui ifinyie kwa ndani sijui....Walitegemea kukuta "weka mate niteleze"
Hehehee mfalme haimbagi matusi hata usikilize nyimbo zake 10 huwezi kukuta matusi
Kama Kiba na Ommy Dimpoz wangebadilishana nyimbo, wimbo ya Yange ungehit kuliko mvumo wa radi.Kiba anatoa nyimbo ambayo inafit kwa kila rika, hii ngoma watoto , vijana na wazee lazima waipende hamna namna