Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

Kazi ni nzuri kwakweli ila video jamaa huwa ananiangusha siku zote
 
31198375_199980300612660_6447836154384351232_n.jpg
 
Hamjaelewa! Yule jamaa anafany vitu kwa malengo.. ule wimbo ameutumia kutangaza kinywaji chake kipya cha MoFaya(kama umeangalia video utaliona hilo) na nyimbo ina maazi ya ki Afrika mpk dress codes zinaonesha.. wimbo unachezeka pia, unataka kufanana na ule Mwana Dar es salamaa.. ni kazi nzuri ya Man Walter..!!
Mkuu wabongo washazoea "inama inama"..
 
Video ameitendea haki bhn japo video nyingine huwa anazingua ila hii ni kali.. na kile kionjo cha katikati pale.. nzuri!
 
Yoooooooooh.. Kwa anayejua mziki mzuri na asiendeshwa na mahaba ya utimu, Mvumo wa Radi ni motoooooooooo..
 
[emoji23][emoji23] tuna elimisha vijana wanaleta mapenzi kwenye vitu vizuri..
Walitegemea kukuta "weka mate niteleze"
Hehehee mfalme haimbagi matusi hata usikilize nyimbo zake 10 huwezi kukuta matusi
 
Back
Top Bottom