Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

Mwambie Jamaa aionee huruma lugha adhimu ya Kiswahili..
Jamaa linaharibu lugha eti "craudz"
Imagine jama yupo uhamiaji ndo anasajili passport..si anakuharibia jina uyo!
Ha haaaa haaaaaa umenichekesha sana aisee
 
Wimbo Wa kawaida Sana Wa kutambulisha kinywaji chake tu had ilfika pahal nkadhani imeanza movie kama mmeifuatilia ila kwa mashabki zake kaz yao moja tu kusifia wkt jamaa anapotea Mara utasikia tujtahdini afikishe viewers mil2 but wanampoteza mwenzao anarudi kunduchiiiiii "sugwisa"
 
Ahahaaaah...
Kwakweli huu wimbo ni mkali kushinda album nzima ya Diamond(A boy from Tandale).
teheee"" ma gentleman huwa tuna desturi ya kuheshimu Mawazo ya kila mtu "" hata kama yanaonyesha kukinzana na Mawazo yetu"" so i hope na wewe ni miongoni mwa ma gentleman "bila shaka utakuwa na hiyo desturi
 
What is you're name?
My name is Alikiba...
What brings u to our home?
I've come to take the girl..
Hahahahahahahah......

Yan we hauna mpinzani Mr classical...
hahaaaaaa"" nawaona wanabinya mapu.......ili Ali k abume "" wabongo fitina fitina tupu"" uchawi na majungu ndio wanachokiweza....aisee
 
HAHAAAAAA ALI KIBA MAMAAEEEEEEEE...KAUWASHA MOTO HUKO....HATA NGOMA SINA ..SINAAA. PRESHA SISA ..SINAAAA SINA SINAAAA.

.CHORUS..TUTAONANA TEENA ..TUTAONANA TENA

..DAAHHHHH YULE JAMAA ANAIMBA AISEEEE""...
 
teheee"" ma gentleman huwa tuna desturi ya kuheshimu Mawazo ya kila mtu "" hata kama yanaonyesha kukinzana na Mawazo yetu"" so i hope na wewe ni miongoni mwa ma gentleman "bila shaka utakuwa na hiyo desturi

Today I observe how brite you are.
Well
√√√√√√√
 
Mziki ni mzuri yaan nimeupenda jamo katembelea kwenye beat ya Dushelele Ila ni mzuri sana kanikera sehem moja tu kupiga story zikawa nyingi ndani ya nyimbo
sikiliza audio haina huo ujinga
 
Back
Top Bottom