George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Maoni yangu.. kama unapenda mziki nzuri na unaoeleweka basi hii nyimbo ni bora sana kwa huu mwaka kushinda ALBAM yote ya MOND...
nyimbo zao za vigodoro wale ..achana naoBonge moja la Ngoma!
Hakuna Mitusi kama ya wale watoto wa tandale!
Ha haaaa haaaaaa umenichekesha sana aiseeMwambie Jamaa aionee huruma lugha adhimu ya Kiswahili..
Jamaa linaharibu lugha eti "craudz"
Imagine jama yupo uhamiaji ndo anasajili passport..si anakuharibia jina uyo!
Sawa mkuuWhat is you're name?
My name is Alikiba...
What brings u to our home?
I've come to take the girl..
Hahahahahahahah......
Yan we hauna mpinzani Mr classical...
Ahahaaaah...shikamoooo....agiza mo faya..naja kulipa..mziki mzuri ..kwa magentleman....
teheee"" ma gentleman huwa tuna desturi ya kuheshimu Mawazo ya kila mtu "" hata kama yanaonyesha kukinzana na Mawazo yetu"" so i hope na wewe ni miongoni mwa ma gentleman "bila shaka utakuwa na hiyo desturiAhahaaaah...
Kwakweli huu wimbo ni mkali kushinda album nzima ya Diamond(A boy from Tandale).
Kunywa soda najaile ni afro pop chief....nasio sebene "" sawa "" jifunze vyema mitindo ya muzik
hahaaaaaa"" nawaona wanabinya mapu.......ili Ali k abume "" wabongo fitina fitina tupu"" uchawi na majungu ndio wanachokiweza....aiseeWhat is you're name?
My name is Alikiba...
What brings u to our home?
I've come to take the girl..
Hahahahahahahah......
Yan we hauna mpinzani Mr classical...
daaahh Jamaa hatari sana aisee..njoo tu ulipe soda ya watu ""Kunywa soda naja
teheee"" ma gentleman huwa tuna desturi ya kuheshimu Mawazo ya kila mtu "" hata kama yanaonyesha kukinzana na Mawazo yetu"" so i hope na wewe ni miongoni mwa ma gentleman "bila shaka utakuwa na hiyo desturi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kabisangoma classic kwa sie wahenga.....
nzurii sana!! ila SIO kwa vijana ambao hawaja maliza balehe
asante karibu"" Mkuu""Today I observe how brite you are.
Well
√√√√√√√
sikiliza audio haina huo ujingaMziki ni mzuri yaan nimeupenda jamo katembelea kwenye beat ya Dushelele Ila ni mzuri sana kanikera sehem moja tu kupiga story zikawa nyingi ndani ya nyimbo