MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,780
- 2,555
Ile ni video...kwenye audio ndo hakuna hiyokitu...hata wasanii wakubwa huwa wanafanya hivyo...wakina rihanna..rick rose,dj khaleed etc...say my name baby.....!!Ngoma ni nzuri inachezeka. Ila pale alipoweka igizo sijui what is your name kanikera. Ndo uko unacheza sasa unasimama wamalize kuulizana au??