Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

Acha hizo akili, WCB ni club huwezi linganisha na mchezaji mmoja. Huwezi sema Real Madrid ni bora kuliko No Salah. Diamond kushine inategemea na wasanii aliowazalisha, na nyimbo nyingi za Diamond ni alizoshirikisha wasanii wa nje.... Kiki pmj na drama za mapenzi hufanya wengi kumfuatilia, sema uwezo mdogo unafanya kulinganisha Mziki wa Kiba na Diamond. Ali Kiba kwanza Muziki kabla ya Diamond kama alistahimili mikiki muda mwingi wa Nyuma sembuse sasa anaposhindana na club ya mpira WCB
Chuki ndugu sio nzuri..!! Fatilia ukweli.. Media zinazoleta fitina na kujifanya wanakuza vipaji kumbe sio.. Mimi sijaview kutokana na upuuzi wa media
 
Wanatapatapa,You tube wamewastukia,Eti MTU unaingia sec kuongeza view na team yake
Wakaonwa HAWA wanaleta mchezo.account itakua inachunguzwa kwanza wasilete masihara kwenye biashara za watu.

NIWAKUMBUSHE TENA,THIS TIME HAKUNA BOOST KAMA SEDUCE ME.mkomae na hali zenu.mkeshe msikeshe kuongeza view mtajua wenyewe
 
Acha hizo akili, WCB ni club huwezi linganisha na mchezaji mmoja. Huwezi sema Real Madrid ni bora kuliko No Salah. Diamond kushine inategemea na wasanii aliowazalisha, na nyimbo nyingi za Diamond ni alizoshirikisha wasanii wa nje.... Kiki pmj na drama za mapenzi hufanya wengi kumfuatilia, sema uwezo mdogo unafanya kulinganisha Mziki wa Kiba na Diamond. Ali Kiba kwanza Muziki kabla ya Diamond kama alistahimili mikiki muda mwingi wa Nyuma sembuse sasa anaposhindana na club ya mpira WCB
Kijana usikurupuke . Tulia uandike vizuri.
 
Nasikia mvumo wa radi umekutana na earth wire huko YouTube, na matokeo yake yakawa neutral. Eti ni kweli au maneno ya wachonganishi tu.?
2018-05-13_19.52.14.jpg
 
Hakuna kiki promo ya Mange hakuna kiki ya WCB safari hii huu wimbo ukifikisha views 1M ndani ya siku tatu najivua uteam Mond nahamia kwa Kiba.......mtu anikumbushe hii kitu J3....
We mmakonde utakuwa mwanga wewe.....mambo hayaendi huko youtube bila shaka ulienda ngende kwa babu yako.😀
 
hahaa..binaadamu tunatofauti sana...kwakweli mimi nimeielewa mnooo"" kwa sababu haina cpy za u Nigeria...bonge si la afropop"" mziki mzuri" kabisaa ..rylics zenye heshima "" kila mtu anaweza kuisikiliza"" jamaa ni mchawi wa music aiseee
mwemaji wa gubu kiba100
 
Mbona Dada na yeye kapoteza views baada ya 26/04 kubuma na hatujamsema,...hebu amuache Kibakuli,kwanza kibakuli hafanyii mziki njaa kama wcb kila siku nyimbo mpya ili mkono uende kinywani!
 
MM sina team ila ni shabiki wa mziki mzuri hii nyimbo aliyotoa mpya analalamika viewers wameganda anaongea na makao makuu ya youtube africa ila mm naona sababu zilizofanya ngoma ifeli ni izi ukilinganisha na SEDUCE ME

1.mange kimambi effect ( promotion)
2.WCB effect( realease songs in one day example ZILIPENDWA vs SEDUCE ME
3 poor song
 
Back
Top Bottom