kipanta
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 925
- 1,086
Chuki ndugu sio nzuri..!! Fatilia ukweli.. Media zinazoleta fitina na kujifanya wanakuza vipaji kumbe sio.. Mimi sijaview kutokana na upuuzi wa mediaAcha hizo akili, WCB ni club huwezi linganisha na mchezaji mmoja. Huwezi sema Real Madrid ni bora kuliko No Salah. Diamond kushine inategemea na wasanii aliowazalisha, na nyimbo nyingi za Diamond ni alizoshirikisha wasanii wa nje.... Kiki pmj na drama za mapenzi hufanya wengi kumfuatilia, sema uwezo mdogo unafanya kulinganisha Mziki wa Kiba na Diamond. Ali Kiba kwanza Muziki kabla ya Diamond kama alistahimili mikiki muda mwingi wa Nyuma sembuse sasa anaposhindana na club ya mpira WCB