Ngoma mpya ya King Kiba (So Hot) ni hot kweli kweli

Ngoma mpya ya King Kiba (So Hot) ni hot kweli kweli

Mpanda nyangobe

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
762
Reaction score
1,688
Mfalme muda wowote kuanzia sasa anaenda kuachia pin Mpya inayokwenda kwa jina LA so hot.

Ni ngoma matata usipime

===============

 
Kumbe bado haujatoka,ruwaaa nilijua tayari
 
Diamond Atasubiri sana mwaka huu.
 
MSHAURINI HUYO KIBA KINA KAZI NYINGI ZA KUFANYA
 
Yaani jamaa anaimba kama undeground mnaomtetea huyu mna moyo alafu hiyo beat ni kama ile nyimbo ya jumuiya ya wasanii wakenya inaitwa SIMAMA PAMOJA,
 
Alafu msanii anaachia nyimbo anaweka kwenye kings music chanel kwanini asiweke kwenye youtube yake kama anajiamini
 
Back
Top Bottom