Ngoma mpya ya King Kiba (So Hot) ni hot kweli kweli

Ngoma mpya ya King Kiba (So Hot) ni hot kweli kweli

Yaani jamaa anaimba kama undeground mnaomtetea huyu mna moyo alafu hiyo beat ni kama ile nyimbo ya jumuiya ya wasanii wakenya inaitwa SIMAMA PAMOJA,
Nini maana ya underground mkuu? Unajua kwa wana Hip Hop neno underground lina maana ingine kabisa? Labda wewe umemaanisha underground ya kiaje mkuu?
 
Alafu msanii anaachia nyimbo anaweka kwenye kings music chanel kwanini asiweke kwenye youtube yake kama anajiamini
Unajua kama kwenye Chanel yake kuna subscribers laki 6 na ushee halafu ya kings music laki 2 tu?

Au ulitaka kumaanisha vp tena mtoto mtamu mtamu?
 
[emoji443]kwenye akili yangu babe nitawale wewee, kwenye macho yangu umeshinda waleeee, babe so hoooot yani wamoto wamotoooo[emoji443]

Khantwe,
My dedication for you babe.
 
Yani hujamuelewa kabisa mwamba chakufanya rudi kwenye majukwaa mengine tu hakukufai huku ahahahaha
Kumbe nilikua namuuliza muimba taarabu!
Haya nenda kajiunge na mzee Yusufu kabla nafasi hazijazaa.
 
Back
Top Bottom