Ngoma mpya ya King Kiba (So Hot) ni hot kweli kweli

Ngoma mpya ya King Kiba (So Hot) ni hot kweli kweli

[emoji28][emoji28] unafurahisha sana mkuu.. muhuni wa nyuma ya Keyboard. Aya nasubiri kuonyeshwa mzee
Ahahahaha! Hujui kitu wewe na ubishi wako wakiwaki huo kabishane na makobelo wenzio
 
Bado una umri mdogo sana dogo.. hata matusi yako na namna unaandika ni rahisi kujionesha..!
So what's my age have to do with ya sh*ts?
huu ndio upuuzi uliowajaa walala hoi wa JF mara utoto, mara umri, mara bla bla gani udingi wako peleka huko haunisaidii chochote mimi.
Hata ningekuwa na miaka mitano wewe una 50 haiondoi uwaki wako wakilofa huo
 
Alikiba asiwe anafanya promo kubwa ikiwa ngoma Ni ya kawaida cos unapofanya promo kubwa watu wanategemea ngoma itakuwa kubwa wanapokuta ngoma ipo tofauti na expectation yao tegemea ngoma kubuma.Namuona Kiba siku zinapoenda mbele na yeye ndio anazidi kurudi nyuma kimziki.
 
Back
Top Bottom