Beat ya kawaida haisisimui, Melody ya kawaida ndio imechangia wimbo kuwa kawaida.Ukiwa kama mtaalamu wa music ebu tueleze uzuri wa nyimbo husika na ubovu wa nyimbo husika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Beat ya kawaida haisisimui, Melody ya kawaida ndio imechangia wimbo kuwa kawaida.Ukiwa kama mtaalamu wa music ebu tueleze uzuri wa nyimbo husika na ubovu wa nyimbo husika?
Wala hata sichukii buda am so proud of womens labda mwenzetu mamako ni mwanaumeWatoto wa kike mnashida sana
Mwambie independent kwamba kuna nyimbo ya Konde Boy Mjeshi, inaitwa CCM 😛 😛 😛Heaters.....
Tunga yako isiyo ya kawaida tuisikie...Da! Hilo promo nkajua mshikaji anakuja na ngoma kali asee ni nyimbo ya kiunderground sana
Hana tofauti na harmonize ukiona anaki promote kitu sana basi ujue hamna kitu apoAlikiba asiwe anafanya promo kubwa ikiwa ngoma Ni ya kawaida cos unapofanya promo kubwa watu wanategemea ngoma itakuwa kubwa wanapokuta ngoma ipo tofauti na expectation yao tegemea ngoma kubuma.Namuona Kiba siku zinapoenda mbele na yeye ndio anazidi kurudi nyuma kimziki.
Kabisa beat ya kawaida sana yaani bora ile ngoma ya msanii wake ndo ingekua yakee. Ila tatizo ni management yake ya sasa yule dada halupaswa kua manager bora seven kuna siku alinichekesha sana eti anagurahia nyimbo kupata comments nyingiii yaaani[emoji23][emoji23]Beat ya kawaida haisisimui, Melody ya kawaida ndio imechangia wimbo kuwa kawaida.
Amepita kwa kunyata hapaa kama sio yeyeMzee wa Spartacus anasemaje?
Imetoka leoVideo inatoka lini??
😳Mweeeeee!?😂😂😂😂😂🚶🚶🚶Heaters.....
Biti znamwangusha sana,,Kiba yupo overrated sana isingekuwa huruma ya waTanzania nadhani angeshapotea. Kuna wasanii wakali sana walitoka kipindi kiba anatoka ila leo tushawasahau. Muda utaongea.