Ngoma mpya ya King Kiba (So Hot) ni hot kweli kweli

Ngoma mpya ya King Kiba (So Hot) ni hot kweli kweli

Bado kuna vijana wana mawazo dhaifu kama wewe humu Jf?
 
Kuanzia lini mashabiki wa wcb wakasifia nyimbo ya alikiba?

Mbona diamond akitoa ikiwa mbaya amsemi.
 
Nyimbo zenu nzuri zinaishiaga youtube na instagram Baada ya wiki 2,Kwisha habari yenu.
 
😂😂😂😁Alikibakuli anachekesha sana hapa Sasa Nimeamini alikuzwa na bifu na dangote bin laden
 
Mkuu wewe una nyimbo yoyote kali kuliko hiyo ya Kiba?
Swali la kipuuzi kabisa hili... kiba muziki ndio kazi yake na ndio maana anakosolewa kwenye muziki, ushawai sikia kiba anakosolewa kisa umeme umekatika ? Sasa kumuuliza Swingman eti una ngoma kali kuliko kiba labda akwambie na yeye ni msanii wa muziki.
Mkuu wewe una nyimbo yoyote kali kuliko hiyo ya Kiba?
 
Back
Top Bottom