Ngoma mpya ya King Kiba (So Hot) ni hot kweli kweli

Ngoma mpya ya King Kiba (So Hot) ni hot kweli kweli

Kiba yupo overrated sana isingekuwa huruma ya waTanzania nadhani angeshapotea. Kuna wasanii wakali sana walitoka kipindi kiba anatoka ila leo tushawasahau. Muda utaongea.
Sema hapendi show off eti ila yeye mkali
 
So hot🔥🔥🔥🔥🔥 nakalili mashairi kama kawa ......😄😄😄😄
 
King n noumeeeeeeeeeeeeeer, piga kelele kwa King ake weuweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh
 
Piga kelele kwa G. O. A. T ake, weuweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, kaua vilivyooooooh haswaaaaaah. Team tecno wereva +kugawiwa bundles lazima walie. Ila wakubali tyuuh hakna namna.
 
Naunga mkono hoja!

Kwanza kabisa huo wimbo hata kuusikia sijausikia ila najua tu utakuwa 'mbaya' lakini si wakawaida kama usemavyo. Alikiba akitoa mziki mzuri sitashindwa kurudi hapa kumsifia.

Napita....!
 
Manager alipokuwa Seven jamaa nyimbo zilikuwa zinapigwa trace na mtv ,sasa hivi chanel za nje hazipigi nyimbo zake
Kabisa beat ya kawaida sana yaani bora ile ngoma ya msanii wake ndo ingekua yakee. Ila tatizo ni management yake ya sasa yule dada halupaswa kua manager bora seven kuna siku alinichekesha sana eti anagurahia nyimbo kupata comments nyingiii yaaani[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom