Ngoma mpya ya King Kiba (So Hot) ni hot kweli kweli

Ngoma mpya ya King Kiba (So Hot) ni hot kweli kweli

Co-writting wa nyimbo ni tommy flavour. Huyu dogo ni hatari kambadilisha sana kiba.
 
Yale yale ya dodo, now days ngoma mbovu but media fulani zinabaka masikio yetu ili watukremishe bila kupenda
Ukitaka kujua hamna kitu yani hata Mnyama mkali hana mzuka wa promo
 
Ukitaka kujua hii ngoma mbaya cheki jinsi robidinyo mnyama mkali alivyoilia buyu
 
Mnapoteza muda kufatilia music wa kiba sijawahi kuona nyimbo take nzuri hata moja anatia tia huruma tu
 
Dah! Hilo promo nikajua mshikaji anakuja na ngoma kali asee ni nyimbo ya kiunderground sana



Wabongo huwa mnshangaza sana,wewe umefanya nini kwenye fani yako ya kukufanya uwe unique,utambulike,uheshimike at least ufikie leel ya Kiba tu ndani ya TZ,africa na Dunia?? Kama huna ulichofanya, kazana tia bidiii ufanikiwe,huo u team hauna maaana,appreciate Kiba anachofanya,ongeza bidii na wewe walau umfikie kwa leel za Tanzania kwa upande wa fani(specialization) yako,kuponda,negative energy hazikusaidiii,zinakuumiza tu.
 
Kiba yupo overrated sana isingekuwa huruma ya waTanzania nadhani angeshapotea. Kuna wasanii wakali sana walitoka kipindi kiba anatoka ila leo tushawasahau. Muda utaongea.
Muda upi tena?? Hesabu Cinderela mpaka So Hot!!! Ni Huruma tu??? Miaka mingapi imepita?? Na kibaya kinachowaumiza ni kastick kwenye bongo fleva yetu ,hakuna masound ya kinaija,mara sijui ma kwaito ya ki south.
 
Piga kelele kwa G. O. A. T ake, weuweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, kaua vilivyooooooh haswaaaaaah. Team tecno wereva +kugawiwa bundles lazima walie. Ila wakubali tyuuh hakna namna.
BOSS utotoni mwako umewahi kuumwa degedege?
 
Promo kubwa hufanyika wakat watu wame miss hitz mfano mzuri alipo toa mshumaa,seduce me na DODO.ndio mana zikachumpa mpk #1 on trending ndani ya saa chache tu...lkn so hot imekua sio hot......Imebuma kama mvumo wa radi
 
Back
Top Bottom