Ngoma mpya ya King Kiba (So Hot) ni hot kweli kweli

Ngoma mpya ya King Kiba (So Hot) ni hot kweli kweli

Nilijua nikisema mm nadanganya .mm naikubali mshumaa pale alitulia
 
Alikiba asiwe anafanya promo kubwa ikiwa ngoma Ni ya kawaida cos unapofanya promo kubwa watu wanategemea ngoma itakuwa kubwa wanapokuta ngoma ipo tofauti na expectation yao tegemea ngoma kubuma.Namuona Kiba siku zinapoenda mbele na yeye ndio anazidi kurudi nyuma kimziki.
Hana tofauti na harmonize ukiona anaki promote kitu sana basi ujue hamna kitu apo
 
Beat ya kawaida haisisimui, Melody ya kawaida ndio imechangia wimbo kuwa kawaida.
Kabisa beat ya kawaida sana yaani bora ile ngoma ya msanii wake ndo ingekua yakee. Ila tatizo ni management yake ya sasa yule dada halupaswa kua manager bora seven kuna siku alinichekesha sana eti anagurahia nyimbo kupata comments nyingiii yaaani[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom