Ngoma ya Ali Kiba yapigwa Wasafi TV masaa 6 mfululizo ,Kiba anena mazito

Ngoma ya Ali Kiba yapigwa Wasafi TV masaa 6 mfululizo ,Kiba anena mazito

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Jana ngoma za Ali Kiba zilipigwa masaa sita mfululizo kuanzia saa 6 usiku mpaka saa 12 alfajiri.
IMG_20180405_073858_654.JPG

Ali Kiba alipoulizwa nini maoni yake alisema " nnilijua lazima tu wapige ngoma,kibongo Bongo huwezi kuwa na TV ya mziki halafu husipige ngoma zangu,nilifahamu tokea mwanzo lazima wapige ngoma zangu ila sikutaka kusema tu sababu sipendi mauzo".
Mdau nini maoni yako?
 
sijapenda majibu yake yamekosa diplomasia kwa namna fulani maana angejisikia fahari na kuona kuwa kumbe hasimu wake anakumkubali lakini yeye amegeuza kuwa nyodo na inda..............hii ni kudumisha ugomvi badala ya kuutatua, angekumbuke tasnia za biashara zinazounganisha jamii hazina rafiki wala adui wa kudumu
 
Jana ngoma za Ali Kiba zilipigwa masaa sita mfululizo kuanzia saa 6 usiku mpaka saa 12 alfajiri.View attachment 734840Ali Kiba alipoulizwa nini maoni yake alisema " nnilijua lazima tu wapige ngoma,kibongo Bongo huwezi kuwa na TV ya mziki halafu husipige ngoma zangu,nilifahamu tokea mwanzo lazima wapige ngoma zangu ila sikutaka kusema tu sababu sipendi mauzo".
Mdau nini maoni yako?
Kajibu kishamba mno
 
sijapenda majibu yake yamekosa diplomasia kwa namna fulani maana angejisikia fahari na kuona kwa hasimu wake kumkubali yeye amegeuza kwa nyodo na inda
Ana roho ya kisasi iliyojaa uchungu. Ali Kiba anaweza kupata maradhi ya moyo, akili Na vidonda vya tumbo kwakuwa hataki kuachilia vitu vinavyomuumiza moyo
 
Uzushi huu. Sema nilivyoona hii channel bado ina mapungufu wayarekebishe haraka, subtitles hazionekani, logo inaendana na ya Maisha Magic, quality ya picha hairidhishi. Wajitahidi wawaige E.TV wale tangu mwanzo walianza vizuri sana hasa kwa upande wa ubora wa picha
 
sijapenda majibu yake yamekosa diplomasia kwa namna fulani maana angejisikia fahari na kuona kwa hasimu wake kumkubali yeye amegeuza kwa nyodo na inda
Kiba kichwa kopo kweli sasa nini hicho amejibu!? Hovyo kabisa
Ana roho ya kisasi iliyojaa uchungu. Ali Kiba anaweza kupata maradhi ya moyo, akili Na vidonda vya tumbo kwakuwa hataki kuachilia vitu vinavyomuumiza moyo
Hivi nyie habari za msaga sumu hua mnazichululia Serious? Huyu ni mchekeshaji tu jaribuni kufuatilia mada zake.
Kuna ile mada yake eti MO kafanya kikao na Le mutuz masaaa 13, hua anajitungi kunogesha story.
But Context ya hii thread ni kutufahamisha kua Wasafi TV wamepiga nyimbo za Queen Kiba100
 
Eti Mo kafanya kikao na Le Mutuz saa 13[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
sijapenda majibu yake yamekosa diplomasia kwa namna fulani maana angejisikia fahari na kuona kwa hasimu wake kumkubali yeye amegeuza kwa nyodo na inda
hahahahaha kuwa makini na mtoa mada anaweza kukugombanisha hata na wakwe zako na watu wakamuamini.....hahahahaha muuulize Lemutuz mobimba.......huyo ndio msaga sumu.....eti masaa sita mfululizo......
Alikiba hana mambo ya show off
 
wasafi wao wafanyabiashara wanajua washawachafua wapinzani Kwa kuwa na urafiki na RC wa dar ili kuwateka hao wapinzani lazima wapige ngoma za kiba
 
Kama kweli kajibu hivyo basi kuna walakini upstairs. Nani amemwambia huwezi kumiliki tv bila kupiga nyimbo zake? Hivi kipindi clouds wanaacha kupiga nyimbo za Jaydee alikuweje?, na kipindi eatv wanaacha kupiga nyimbo za domo ilikuwaje? Na sasa clouds hawapigi nyimbo za Domo yukoje. Inawezekana kabisa nyimbo zake kutopigwa na TV station na wasipate hasara yoyote
 
Back
Top Bottom