Ngoma ya Ali Kiba yapigwa Wasafi TV masaa 6 mfululizo ,Kiba anena mazito

Ngoma ya Ali Kiba yapigwa Wasafi TV masaa 6 mfululizo ,Kiba anena mazito

Uzushi huu. Sema nilivyoona hii channel bado ina mapungufu wayarekebishe haraka, subtitles hazionekani, logo inaendana na ya Maisha Magic, quality ya picha hairidhishi. Wajitahidi wawaige E.TV wale tangu mwanzo walianza vizuri sana hasa kwa upande wa ubora wa picha

Point!
 
Sema nini, rangi ya Wasafi TV... Mbayaaaaa utafikiri unacheki movie Za zamani... Waende E.TV wapewe ushauri.
 
10 Most Beautiful Islands That
Are Vacation Goals for 2018
 
Officially hapo ni mwisho kwa Wasafi TV kupiga nyimbo za Kiba kwa jibu LA hovyoo alilotoaa
 
Kwa sisi tunaojua biashara hatuwezi kushangaa.ni jambo la kawaida.
 
Naona mods washampumzisha mtoa mada kwa kupotosha...

Hahhaahhaaa...
 
kajibu kijinga sana. nilikuwa namuheshimu ila sasa simuheshimu tena. hana tofauti na vijana waimba singeli. jinga sana wewe ali kiba.
Mkuu habari hiyo si kweli..
 
Jana ngoma za Ali Kiba zilipigwa masaa sita mfululizo kuanzia saa 6 usiku mpaka saa 12 alfajiri.
View attachment 734840
Ali Kiba alipoulizwa nini maoni yake alisema " nnilijua lazima tu wapige ngoma,kibongo Bongo huwezi kuwa na TV ya mziki halafu husipige ngoma zangu,nilifahamu tokea mwanzo lazima wapige ngoma zangu ila sikutaka kusema tu sababu sipendi mauzo".
Mdau nini maoni yako?
Sawa dada Mange
 
Back
Top Bottom