Ngoma ya Ali Kiba yapigwa Wasafi TV masaa 6 mfululizo ,Kiba anena mazito

Ngoma ya Ali Kiba yapigwa Wasafi TV masaa 6 mfululizo ,Kiba anena mazito

Uzushi huu. Sema nilivyoona hii channel bado ina mapungufu wayarekebishe haraka, subtitles hazionekani, logo inaendana na ya Maisha Magic, quality ya picha hairidhishi. Wajitahidi wawaige E.TV wale tangu mwanzo walianza vizuri sana hasa kwa upande wa ubora wa picha
Kunakuwaga na kipindi cha majaribio...
 
Kumbe saa sita usiku me nikajua Mchana kweupe ambapo kila mtu anaona hao wasafi roho mbaya ndio imewajaaa hawana lolote
 
Ana roho ya kisasi iliyojaa uchungu. Ali Kiba anaweza kupata maradhi ya moyo, akili Na vidonda vya tumbo kwakuwa hataki kuachilia vitu vinavyomuumiza moyo
Mkuu usihukumu kwanza kabla hujadhibitisha na kuwa na source ya uhakika
 
Kiba ana mpango wa kunzisha WACHAFU TV lakini hapendi show off tu
 
unajua kitendo cha kupiga ngoma za alikiba kwa kurudia rudia!!unaweza kuona kwamba hamna tatizo kama ukiwa mvivu wa kufikiri lakini tafsiri yake ni nini??
wasafi wanajaribu kutuma ujumbe fulani kwa kiba..
Mimi namshauri tu kiba yeye kama legend aachane na mambo ya kujibizana nao yeye ajali kazi zake tu.
 
Jana ngoma za Ali Kiba zilipigwa masaa sita mfululizo kuanzia saa 6 usiku mpaka saa 12 alfajiri.
View attachment 734840
Ali Kiba alipoulizwa nini maoni yake alisema " nnilijua lazima tu wapige ngoma,kibongo Bongo huwezi kuwa na TV ya mziki halafu husipige ngoma zangu,nilifahamu tokea mwanzo lazima wapige ngoma zangu ila sikutaka kusema tu sababu sipendi mauzo".
Mdau nini maoni yako?
washaanza uswahili sasa,we TV proffessional haziwezi kufanya mambo ya kiswahiliswahili hivyo,nia na madhumuni ni nini sasa!
 
ETV hawapatani hawa!
HAHAHAHA hawapatani kwenye nini? msome hapa majizo

  • majizzoIt's a great initiative you have taken and I personally congratulate you On choosing the media Industry...As youths it our obligation to call on others to work hard build our nation today and for the generation to come.. We at "E" have done little and believe Wasafi can bring in more for the better of our country...Karibu tujenge Tanzania yetu... Welcome to the Media Industry @diamondplatnumz
 
Kabla ya kuchangia uzi wowote huwa nasoma kwanza jina la mwanzishaji,
 
Sio majibu yake hayo hao ni haters wanataka kuwagombanisha na D
 
Kwanza siamini kamam kajibu hivi na kama kweli kajibu hivi basi kichwani kuna ugali tu
 
Jana ngoma za Ali Kiba zilipigwa masaa sita mfululizo kuanzia saa 6 usiku mpaka saa 12 alfajiri.
View attachment 734840
Ali Kiba alipoulizwa nini maoni yake alisema " nnilijua lazima tu wapige ngoma,kibongo Bongo huwezi kuwa na TV ya mziki halafu husipige ngoma zangu,nilifahamu tokea mwanzo lazima wapige ngoma zangu ila sikutaka kusema tu sababu sipendi mauzo".
Mdau nini maoni yako?
Tupe source,tu prove Kiba alijibu hayo majibu,haya mambo sijui mnapata faida nayo gani au ndo tusikujaji kutokana na hiyo ID yako,jina MSAGA SUMU ndo unakaanga kweli sumu sio,uchawi sio mpaka upae na ungo mzee!!!
 
Mond katumia akili, clouds wamegoma kucheza ngoma zake bila sababu za msingi sana, sasa na yeye angekuwa mjinga kama angeamua kutopiga ngoma za Ally Kiba kwenye chanel yake, by the way hii ni biashara so unatizama zaidi ni jambo gani ukilifanya litakuingizia kipato zaidi.
 
Kiba hana tofauti na mtoto aliebemendwa,kusimama hasimami,kutambaa hatambai
Eti alijua tu,hapendi mauzo
 
Back
Top Bottom