Ngoma ya Ali Kiba yapigwa Wasafi TV masaa 6 mfululizo ,Kiba anena mazito

Ngoma ya Ali Kiba yapigwa Wasafi TV masaa 6 mfululizo ,Kiba anena mazito

Uzushi huu. Sema nilivyoona hii channel bado ina mapungufu wayarekebishe haraka, subtitles hazionekani, logo inaendana na ya Maisha Magic, quality ya picha hairidhishi. Wajitahidi wawaige E.TV wale tangu mwanzo walianza vizuri sana hasa kwa upande wa ubora wa picha
mkuu fanya setting
 
sijapenda majibu yake yamekosa diplomasia kwa namna fulani maana angejisikia fahari na kuona kuwa kumbe hasimu wake anakumkubali lakini yeye amegeuza kuwa nyodo na inda..............hii ni kudumisha ugomvi badala ya kuutatua, angekumbuke tasnia za biashara zinazounganisha jamii hazina rafiki wala adui wa kudumu
Well said, ndo reflection ya his thinking capacity!
 
Kama kweli kajibi hivyo basi huyu jamaa kweli ni bichwa maji, empty set kabisa.
 
sijapenda majibu yake yamekosa diplomasia kwa namna fulani maana angejisikia fahari na kuona kuwa kumbe hasimu wake anakumkubali lakini yeye amegeuza kuwa nyodo na inda..............hii ni kudumisha ugomvi badala ya kuutatua, angekumbuke tasnia za biashara zinazounganisha jamii hazina rafiki wala adui wa kudumu
Busara na hekima nchi hii ni janga
 
Kama kweli ndivyo alivyojibu, basi huyu jamaa amekosa maalifa ya mdomo na siamini kama kweli ndivyo alivyojibu.
 
Alikiba ni ni mpumbavu mpumbavu na ndio maana hafanikiwi anabaki kuwa avarage musician
 
kiba akili zake za mirungi tu na bangi ...
tatizo sio kiba tatizo ni miakili yetu wabongo, kuna maswali ya kujiuliza juu ya thread hii
1. kwanini imekuja andikwa huku kwenye jokesi+utani kwanini isiende andikwa kwenye habari?
2. mtoa mada alijuaje ilipigwa kuanzia 6 usiku hadi 12 hasubui?
 
Alikiba ni ni mpumbavu mpumbavu na ndio maana hafanikiwi anabaki kuwa avarage musician
mpumbavu wewe na sio kiba. hii page ni ya vichekesho na unaambiwa haiendani na maisha harisi ya muusika. na kesho mutakuja kumtukana hata madenge umu ndani!. kama majuha!,?
 
Jana ngoma za Ali Kiba zilipigwa masaa sita mfululizo kuanzia saa 6 usiku mpaka saa 12 alfajiri.
View attachment 734840
Ali Kiba alipoulizwa nini maoni yake alisema " nnilijua lazima tu wapige ngoma,kibongo Bongo huwezi kuwa na TV ya mziki halafu husipige ngoma zangu,nilifahamu tokea mwanzo lazima wapige ngoma zangu ila sikutaka kusema tu sababu sipendi mauzo".
Mdau nini maoni yako?
A.Kiba kajibu vizuri,hoja ya msingi hata kama angekuwa wewe kwanini wapige ngoma zake kwa masaa6 je hakuna nyimbo za wanamuziki wengine, au wasafi TV kunakitu wanachokonoa
 
Huyu Kiba boya sana kichwani kama kweli kajibu hivyo
 
Back
Top Bottom