nyakandula
JF-Expert Member
- Jul 26, 2016
- 1,250
- 1,727
Sio kwel kiba hawez kuongea huo upuuz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzushi huu. Sema nilivyoona hii channel bado ina mapungufu wayarekebishe haraka, subtitles hazionekani, logo inaendana na ya Maisha Magic, quality ya picha hairidhishi. Wajitahidi wawaige E.TV wale tangu mwanzo walianza vizuri sana hasa kwa upande wa ubora wa picha
ETV hawapatani hawa!Sema nini, rangi ya Wasafi TV... Mbayaaaaa utafikiri unacheki movie Za zamani... Waende E.TV wapewe ushauri.
Mkuu habari hiyo si kweli..kajibu kijinga sana. nilikuwa namuheshimu ila sasa simuheshimu tena. hana tofauti na vijana waimba singeli. jinga sana wewe ali kiba.
mi najiuliza kwanini waliamua kuzipiga muda huo ambao watu wengi wanakuwa wamelalakuanzia saa 6 usiku mpaka saa 12 alfajiri.
Sawa dada MangeJana ngoma za Ali Kiba zilipigwa masaa sita mfululizo kuanzia saa 6 usiku mpaka saa 12 alfajiri.
View attachment 734840
Ali Kiba alipoulizwa nini maoni yake alisema " nnilijua lazima tu wapige ngoma,kibongo Bongo huwezi kuwa na TV ya mziki halafu husipige ngoma zangu,nilifahamu tokea mwanzo lazima wapige ngoma zangu ila sikutaka kusema tu sababu sipendi mauzo".
Mdau nini maoni yako?
anzisha yako acha u shetaniSema nini, rangi ya Wasafi TV... Mbayaaaaa utafikiri unacheki movie Za zamani... Waende E.TV wapewe ushauri.