MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
we mtoa mada hujui...hiyo habari ameibumba!Sasa hii nayo ni habari??
Badala ya kuona sifa nyimbo zake kupigwa Wasafi TV labda angefikiria kuwa na angalau Kiba Radio
you captured the logicWasafi TV they are neither envy nor jealous
Kajibu kishamba mnoJana ngoma za Ali Kiba zilipigwa masaa sita mfululizo kuanzia saa 6 usiku mpaka saa 12 alfajiri.View attachment 734840Ali Kiba alipoulizwa nini maoni yake alisema " nnilijua lazima tu wapige ngoma,kibongo Bongo huwezi kuwa na TV ya mziki halafu husipige ngoma zangu,nilifahamu tokea mwanzo lazima wapige ngoma zangu ila sikutaka kusema tu sababu sipendi mauzo".
Mdau nini maoni yako?
Wapendeni adui zenu na kuwaombea Baraka. Wasafi TV watafanikiwa sanaWasafi TV they are neither envy nor jealous
Hana exposure Na upstairs hamna kituKajibu kishamba mno
Ana roho ya kisasi iliyojaa uchungu. Ali Kiba anaweza kupata maradhi ya moyo, akili Na vidonda vya tumbo kwakuwa hataki kuachilia vitu vinavyomuumiza moyosijapenda majibu yake yamekosa diplomasia kwa namna fulani maana angejisikia fahari na kuona kwa hasimu wake kumkubali yeye amegeuza kwa nyodo na inda
Uzushi huu. Sema nilivyoona hii channel bado ina mapungufu wayarekebishe haraka, subtitles hazionekani, logo inaendana na ya Maisha Magic, quality ya picha hairidhishi. Wajitahidi wawaige E.TV wale tangu mwanzo walianza vizuri sana hasa kwa upande wa ubora wa pichaJana ngoma za Ali Kiba zilipigwa masaa sita mfululizo kuanzia saa 6 usiku mpaka saa 12 alfajiri.View attachment 734840Ali Kiba alipoulizwa nini maoni yake alisema " nnilijua lazima tu wapige ngoma,kibongo Bongo huwezi kuwa na TV ya mziki halafu husipige ngoma zangu,nilifahamu tokea mwanzo lazima wapige ngoma zangu ila sikutaka kusema tu sababu sipendi mauzo".
Mdau nini maoni yako?
Umemskia wkt anajibu?Kiba kichwa kopo kweli sasa nini hicho amejibu!? Hovyo kabisa
sijapenda majibu yake yamekosa diplomasia kwa namna fulani maana angejisikia fahari na kuona kwa hasimu wake kumkubali yeye amegeuza kwa nyodo na inda
Kiba kichwa kopo kweli sasa nini hicho amejibu!? Hovyo kabisa
Hivi nyie habari za msaga sumu hua mnazichululia Serious? Huyu ni mchekeshaji tu jaribuni kufuatilia mada zake.Ana roho ya kisasi iliyojaa uchungu. Ali Kiba anaweza kupata maradhi ya moyo, akili Na vidonda vya tumbo kwakuwa hataki kuachilia vitu vinavyomuumiza moyo
Eti Mo kafanya kikao na Le Mutuz saa 13[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi nyie habari za msaga sumu hua mnazichululia Serious? Huyu ni mchekeshaji tu jaribuni kufuatilia mada zake.
Kuna ile mada yake eti MO kafanya kikao na Le mutuz masaaa 13, hua anajitungi kunogesha story.
But Context ya hii thread ni kutufahamisha kua Wasafi TV wamepiga nyimbo za Queen Kiba100
hahahahaha kuwa makini na mtoa mada anaweza kukugombanisha hata na wakwe zako na watu wakamuamini.....hahahahaha muuulize Lemutuz mobimba.......huyo ndio msaga sumu.....eti masaa sita mfululizo......sijapenda majibu yake yamekosa diplomasia kwa namna fulani maana angejisikia fahari na kuona kwa hasimu wake kumkubali yeye amegeuza kwa nyodo na inda