Hana uwezo huo huyo kibamia wen[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata ivo alikiba anampango wa kuanzisha tv na redio sema tu hapend mauzo kama domooo
Sina team, but aanzishe sasaHata ivo alikiba anampango wa kuanzisha tv na redio sema tu hapend mauzo kama domooo
mkuu fanya settingUzushi huu. Sema nilivyoona hii channel bado ina mapungufu wayarekebishe haraka, subtitles hazionekani, logo inaendana na ya Maisha Magic, quality ya picha hairidhishi. Wajitahidi wawaige E.TV wale tangu mwanzo walianza vizuri sana hasa kwa upande wa ubora wa picha
Well said, ndo reflection ya his thinking capacity!sijapenda majibu yake yamekosa diplomasia kwa namna fulani maana angejisikia fahari na kuona kuwa kumbe hasimu wake anakumkubali lakini yeye amegeuza kuwa nyodo na inda..............hii ni kudumisha ugomvi badala ya kuutatua, angekumbuke tasnia za biashara zinazounganisha jamii hazina rafiki wala adui wa kudumu
Busara na hekima nchi hii ni jangasijapenda majibu yake yamekosa diplomasia kwa namna fulani maana angejisikia fahari na kuona kuwa kumbe hasimu wake anakumkubali lakini yeye amegeuza kuwa nyodo na inda..............hii ni kudumisha ugomvi badala ya kuutatua, angekumbuke tasnia za biashara zinazounganisha jamii hazina rafiki wala adui wa kudumu
Wasafi TV they are neither envy nor jealous
tatizo sio kiba tatizo ni miakili yetu wabongo, kuna maswali ya kujiuliza juu ya thread hiikiba akili zake za mirungi tu na bangi ...
mpumbavu wewe na sio kiba. hii page ni ya vichekesho na unaambiwa haiendani na maisha harisi ya muusika. na kesho mutakuja kumtukana hata madenge umu ndani!. kama majuha!,?Alikiba ni ni mpumbavu mpumbavu na ndio maana hafanikiwi anabaki kuwa avarage musician
Kama umechukia kunya tikitiki au bogampumbavu wewe na sio kiba. hii page ni ya vichekesho na unaambiwa haiendani na maisha harisi ya muusika. na kesho mutakuja kumtukana hata madenge umu ndani!. kama majuha!,?
Haha eti walinzi smart wangu unavituko
Haha eti walinzi smart wangu unavituko
Sasa kila mtu akiwa na redio nan atasikiliza ya mwenzake ndugu yagu.Sasa hii nayo ni habari??
Badala ya kuona sifa nyimbo zake kupigwa Wasafi TV labda angefikiria kuwa na angalau Kiba Radio
pale hamna kitu ,anajifanya dharau wakati wenzie wamemshinda.......kasahau kuwa if you can't defeat them then join themKajibu kishamba mno
A.Kiba kajibu vizuri,hoja ya msingi hata kama angekuwa wewe kwanini wapige ngoma zake kwa masaa6 je hakuna nyimbo za wanamuziki wengine, au wasafi TV kunakitu wanachokonoaJana ngoma za Ali Kiba zilipigwa masaa sita mfululizo kuanzia saa 6 usiku mpaka saa 12 alfajiri.
View attachment 734840
Ali Kiba alipoulizwa nini maoni yake alisema " nnilijua lazima tu wapige ngoma,kibongo Bongo huwezi kuwa na TV ya mziki halafu husipige ngoma zangu,nilifahamu tokea mwanzo lazima wapige ngoma zangu ila sikutaka kusema tu sababu sipendi mauzo".
Mdau nini maoni yako?