Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Una hoja, usipuuzweNi rahisi kupata hela, kuliko kumridhisha mwanamke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una hoja, usipuuzweNi rahisi kupata hela, kuliko kumridhisha mwanamke.
Kama kuna watu wana tatizo la nguvu za kiume kuna uwezekano mkubwa sana wanaugua magonjwa mengine.Video za ngono zimeharibu sana vijana. Scene moja ya video ya ngono inachukua wiki nzima kuiandaa. Hakuna tatizo la nguvu za kiume. Ukitaka kuwa na nguvu za kiume unatakiwa ufanye mazoezi ya aerobics.(zoezi zuri ni kukimbia jogging). Hii itasaidia kukurudisha katika ubora pia kufanya semen retention inasaidia sana. Ukifanikiwa ku master semen retention unaweza ku-control upigaji wa bao. Kuna wanaume wengi tunashindwa kujicontrol. Mimi mwenyewe nilikuwa siamini katika semen retention. Lakini imebadilisha maisha yangu kwa ukubwa sana. Unaweza ukamwaga kidogo na mashine ikasimama na ukaendelea kumbato. Ukalibana bao na ukamwaga unapotaka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii noma me nilishapiga energy+Varium 2..nilipiga shoo ya uhakika ila mboo ilitetemeka siku 2 mfululizo..
Naunga mkono hojaUna hoja, usipuuzwe