kuna mademu watamu sana ukichepuka nao....mikosi weka pembeni
Duh,hii ni hatari,Kwahiyo Hata Billgate naye karibuni atafilisika,maana nimesoma mahali wanasema kisa cha kuachana na mkewe ni kuwa aligundulika anachepuka...
Sex is not only about sex it is also about soul ties
Sasa Mkuu tufanyeje tukila "Pisi Kali" tusibaki na gundu?Tayari nipo mkuu
Watu wamefilisika kwa kupigwa magundu kupitia ngono, na kuna baadhi ya watu ukilala nao basi siku inayofuata ni mikosi tupu.. Ngono kwenye haya mambo ni catalyst
Sumu haionjwi... Japo nyingine haziuwiSasa Mkuu tufanyeje tukila "Pisi Kali" tusibaki na gundu?
Lakini hii naona ni kwa huku kwetu mbona mamtoni watu wanagegeda tuu na mihela ndio kwanza inazidiYaani hii kitu isikie tu kwa wenzako, ipo na ina work out, usijaribu utafilisika
👍Kuna connection kubwa sana hapo hasa kama mmojawenu nyie wanandoa ana nyota kali kisha akaenda kuchepuka na kukutana na mtu mwenye gundu ni hatari sana hii kitu
.. Na hapa si ishu ya biashara tuu.. Ukiwa na project yoyote hata ya ujenzi wa nyumba epuka tamaa za kuchepuka! Mradi unaweza ufike mahali ufie hapohapo
Kuna dada mmoja kila anae mgonga Kama Yuko kazini kaajiliwa lazima apigwe chini Kaz ,Kama ana tuvibiashara vyake lazima afirisikeKuna connection kubwa sana hapo hasa kama mmojawenu nyie wanandoa ana nyota kali kisha akaenda kuchepuka na kukutana na mtu mwenye gundu ni hatari sana hii kitu
.. Na hapa si ishu ya biashara tuu.. Ukiwa na project yoyote hata ya ujenzi wa nyumba epuka tamaa za kuchepuka! Mradi unaweza ufike mahali ufie hapohapo
Hakuna kitu kama hicho acheni kudanganyana , mapenzi ni mapenzi hayana uhusiano wowote na pesa unless kama unahonga sanaUhusiano upo tena mkubwa sana.
Usiparamie wanwake yalioshindikana huko halafu ukadhani hautachukua mikosi.Mtu katoa mimba 10,kajichubua peeee,kucha bandia,matako bandia,nywele bandia,kope bandia,chale mwili mzima,chini huko uchi unaungwa na vipipi,marashi sijui ya jini maana demu mwenyewe kuna mda anapandisha mashetani.
Wewe kwa akili yako,mwanamke km huyu unalala nae nyama kwa nyama.Unadhani hautachukua mikosi?????unataka kuonekana kidume kwa mambo ya kipuuzi ???
Unafanya energy exchanging na mtu mwenye mambo kibao usijue kwenye ulimwengu wa roho jinsi unavyojiingiza kwenye matatizo...
Kila kitu kinaanza kutokea kwenye ulimwengu wa roho.Hujawhi kumiliki chochote km kwenye ulimwengu wa roho hujaruhusu kumiliki.
Ukiwa kwenye mahusiano kuna mawili wewe utaiga tabia za uliyenae au yeye ataiga zako au mtaigana.Ukiwa na rafiki hivyo hivyo
Ukienda kijijini kabisa kukaa utaiga tabia zao au wao wataiga zko au mtaigana.
Sasa km miingiliano ya kawaida tu mtu anapoteza sifa yake ya asili,mali,utu wake sembuse ya nyama to nyama.
Hakuna kitu kama hicho acheni kudanganyana , mapenzi ni mapenzi hayana uhusiano wowote na pesa unless kama unahonga sana
Unafanyaje kuondoa hizo balaa?
Hakuna uhusiano wowote kwenye tendo lenyewe ila kama utakuwa unahonga jubu ni ndio, pesa ni pesa na mapenzi ni mapenz ndio maana wenye pesa watia sana dada zenu na hawafilisikiNi sawa huo ni mtazamo wako.
Lakini ukianza kuchunguza nyendo zako vzr kuanzia sasa kuna siku utagundua uhusiano upo.
Kwa hiyo nikichepuka na mtu asiye na tabia Kama hizo juu ...ni sawa!Uhusiano upo tena mkubwa sana.
Usiparamie wanwake yalioshindikana huko halafu ukadhani hautachukua mikosi.Mtu katoa mimba 10,kajichubua peeee,kucha bandia,matako bandia,nywele bandia,kope bandia,chale mwili mzima,chini huko uchi unaungwa na vipipi,marashi sijui ya jini maana demu mwenyewe kuna mda anapandisha mashetani.
Wewe kwa akili yako,mwanamke km huyu unalala nae nyama kwa nyama.Unadhani hautachukua mikosi?????unataka kuonekana kidume kwa mambo ya kipuuzi ???
Unafanya energy exchanging na mtu mwenye mambo kibao usijue kwenye ulimwengu wa roho jinsi unavyojiingiza kwenye matatizo...
Kila kitu kinaanza kutokea kwenye ulimwengu wa roho.Hujawhi kumiliki chochote km kwenye ulimwengu wa roho hujaruhusu kumiliki.
Ukiwa kwenye mahusiano kuna mawili wewe utaiga tabia za uliyenae au yeye ataiga zako au mtaigana.Ukiwa na rafiki hivyo hivyo
Ukienda kijijini kabisa kukaa utaiga tabia zao au wao wataiga zko au mtaigana.
Sasa km miingiliano ya kawaida tu mtu anapoteza sifa yake ya asili,mali,utu wake sembuse ya nyama to nyama.
Hisia zisizo na uhalisia tu hizi, hakuna watu wachepukaji Kama hao matajiri au viongozi, Sasa mbona hawafilisiki? Na hizo maambukizo Ni laana tu baraka zenyewe haziambukizwi?Uhusiano upo tena mkubwa sana.
Usiparamie wanwake yalioshindikana huko halafu ukadhani hautachukua mikosi.Mtu katoa mimba 10,kajichubua peeee,kucha bandia,matako bandia,nywele bandia,kope bandia,chale mwili mzima,chini huko uchi unaungwa na vipipi,marashi sijui ya jini maana demu mwenyewe kuna mda anapandisha mashetani.
Wewe kwa akili yako,mwanamke km huyu unalala nae nyama kwa nyama.Unadhani hautachukua mikosi?????unataka kuonekana kidume kwa mambo ya kipuuzi ???
Unafanya energy exchanging na mtu mwenye mambo kibao usijue kwenye ulimwengu wa roho jinsi unavyojiingiza kwenye matatizo...
Kila kitu kinaanza kutokea kwenye ulimwengu wa roho.Hujawhi kumiliki chochote km kwenye ulimwengu wa roho hujaruhusu kumiliki.
Ukiwa kwenye mahusiano kuna mawili wewe utaiga tabia za uliyenae au yeye ataiga zako au mtaigana.Ukiwa na rafiki hivyo hivyo
Ukienda kijijini kabisa kukaa utaiga tabia zao au wao wataiga zko au mtaigana.
Sasa km miingiliano ya kawaida tu mtu anapoteza sifa yake ya asili,mali,utu wake sembuse ya nyama to nyama.
Na kwanini asitajirike yule mwenye ufukara atembeapo na tajiri na badala yake tajiri afilisike?Yaani hii kitu isikie tu kwa wenzako, ipo na ina work out, usijaribu utafilisika
Wakuelewe hapa......Hizi mambo kizungumkuti sanaa,
Vipi mkuu umeingia chaka nini mambo yakaaza kupita njia yake??
Nahisi kikubwa ni kuachana na maovu uwezavyo,
Kinyume na hapo kila mambo yakipinda utahisi ni sababu ya maovu kumbe basi tuu ni nature, wewe unaishia kujilaumu..
Kuna mtu kila biashara anayoanzisha haiendi, yeye anamini ni mikosi na maovu yake ya nyuma, kumbe ni upepo tuu, na kuna wazee wa nyuchi mwanzo mwisho ila bingo zinakaa, ndio wale watu wanaishia kusema hafiki popote, njemba mishe zinazidi kukaa..
Be fair, ujue moja, mimi nyota yangu ni msoto, kuliko kuwekeza nguvu kuhangaika kuamini mambo ya kufikirika.
Mimi labda uniambie kama unachezea vizinga kiwango cha SGR maan hili lipo wazi wazi ila kiimani Sijui.
Fix hizi hazina uhalisia.Aziniye na mwanamke hana akili,maana anafanya jambo la kumuangamiza. so,ukitaka laana na mabalaa ya ajabu ajabu fanya uzinzi. Kuna roho ya kufifisha mafanikio iko kwenye uzinzi.trust this!