Uhusiano upo tena mkubwa sana.
Usiparamie wanwake yalioshindikana huko halafu ukadhani hautachukua mikosi.Mtu katoa mimba 10,kajichubua peeee,kucha bandia,matako bandia,nywele bandia,kope bandia,chale mwili mzima,chini huko uchi unaungwa na vipipi,marashi sijui ya jini maana demu mwenyewe kuna mda anapandisha mashetani.
Wewe kwa akili yako,mwanamke km huyu unalala nae nyama kwa nyama.Unadhani hautachukua mikosi?????unataka kuonekana kidume kwa mambo ya kipuuzi ???
Unafanya energy exchanging na mtu mwenye mambo kibao usijue kwenye ulimwengu wa roho jinsi unavyojiingiza kwenye matatizo...
Kila kitu kinaanza kutokea kwenye ulimwengu wa roho.Hujawhi kumiliki chochote km kwenye ulimwengu wa roho hujaruhusu kumiliki.
Ukiwa kwenye mahusiano kuna mawili wewe utaiga tabia za uliyenae au yeye ataiga zako au mtaigana.Ukiwa na rafiki hivyo hivyo
Ukienda kijijini kabisa kukaa utaiga tabia zao au wao wataiga zko au mtaigana.
Sasa km miingiliano ya kawaida tu mtu anapoteza sifa yake ya asili,mali,utu wake sembuse ya nyama to nyama.