Ngono ndio chanzo cha umasikini wetu wanaume

Mi kunasiku nilitumia 70k kwa sababu ya papuch huku nadaiwa ada za watoto wangu roho iliniuma saana
 
Hapo sasa...
 
Pale barbershop madem watundu sana,,
Baada ya kunyoa nikaenda kuosha kichwa,, imefika ule mda wa kusafisha sikio,, astaghafil yule manzi akaanza kunipuliza sikio sanjari na kunitoa uchafu,, jogoo aliamka ghafla 🀣,, akaona haitoshi anataka animasaj kabisa duuh,,
 
Kuchoma 100k ni kitu cha kawaida sana, ndio maana watu wanaona bora watulie. Lodge, kula/kunywa, nauli na mengineyo ni around 100k.
 
Kuchoma 100k ni kitu cha kawaida sana, ndio maana watu wanaona bora watulie. Lodge, kula/kunywa, nauli na mengineyo ni around 100k.
100k inachomeka kirahis mnoooo chief. Nikaona kwakua hii 80k at end of the time si kitu na lazima itaungua tu basi acha niichome kwenye mambo useful
 
100k inachomeka kirahis mnoooo chief. Nikaona kwakua hii 80k at end of the time si kitu na lazima itaungua tu basi acha niichome kwenye mambo useful
Kuna siku nilipeleka kazi moja hivi, ile natoka tu natumiwa invoice muhimu sana natakiwa ku~clear. Niliumia sana kuchoma ile pesa.
 
Mkuu hiyo Ni noma ungetumia zaidi ya laki moja alafu mizinga ingeanza hadi shemej angestuka.

Kuna mwanangu mmoja alikimbia demu club hahahaha..pombe peke yake dem alitumia kama elfu 90 alafu hapo bado hajaagiza chakula.
Akamuachia na deni la pombe au??
 
100k inachomeka kirahis mnoooo chief. Nikaona kwakua hii 80k at end of the time si kitu na lazima itaungua tu basi acha niichome kwenye mambo useful
Ila mi sikubali kwamba ngono inakula hela kuliko pombe, hapo nitakataa.

Kumbuka ngono unafanya mara moja moja, sio kila siku. ila kwa mnywaji anaweza kua anachoma 20- 30k karibu kila siku kwenye pombe, nyama choma na kutoa offer kwa watu. Sasa wewe ukitumia 80 kwa siku moja ambapo kuja kutumia tena ni mwezi ujao huoni kuna kanafuu..?
 
Kuna siku nilipeleka kazi moja hivi, ile natoka tu natumiwa invoice muhimu sana natakiwa ku~clear. Niliumia sana kuchoma ile pesa.
Ahahahaha.. mwenyewe nikaona
  • 80k ni zaid ya gharama ya unlimited internet monthly subscription pale ofisin
  • 80k ni zaidi ya post paid services expenses ya vijana wangu ofisni
  • 80k ni zaid ya meals expenses foe 2 weeks pale ofisin
Na mambo mengine kibaoo.

Sasa nikatoe zaod ya 80k kisa kukatikiwa mauno yenye Gono na PID, yote ya nin haya ?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu wewe bado hujabobea kwenye ngono.
UBaya wa ngono unaendana na hayo mazaga ya pombe along side.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…