Ngono ndio chanzo cha umasikini wetu wanaume

Binafsi bahili haswa, December nilipanga ramani na Pisi! Nauli, Lodge, kulaa na mitikasi yote nikaona one night inateketea Laki na 20! Hahahaa nikaona upuuzi huu,nikamwambia nimegaili.

Ogopa sana single mother anaejipambania mhuni amemwacha namtoto.Ukidate nae tu jua unadate/hudumia wawili.
 
Muhasibu mwenye CPA yake umeongea πŸ˜‚πŸ˜‚
Nina experience zote 2. Kabla nilikuwa sina time na mademu kabisa. Nikaona kama najibana sana, nikawa na wawili watatu, daaah outing moja inakata laki, ukichukua wa kuku kienyeji 50 inaenda. Basi ukipiga hesabu kwa mwezi roho inaniuma sana. Kinachosaidia kidogo situmii pombe
 
Mimi sina shida, Nina kademu kangu humu buku jero maumo kama panga Boy, Sema tuu ni kashirikina na kajizi, Kemeniibia mkaa na mtungi nusu wa gesi, kiunoni ana hirizi inapumua.

Kananisaidia pia kukimbiza mbu, kakivua tuu pichu mbu wote mbiooo.
 
Ndio maana ngozi nyeupe mapema tu unaozeshwa
 
Watu wanathamini uke kuliko pesa...Unapambana kazi nzito unapata chochote unaenda kulaghaiwa uke usio na shukrani unaporwa rizki yako. Kesho ukikosa pesa uke anapewa mwingine.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Muongo.
Kuna watu hawana demu wala nini ni masikini skwea
 
Agiza supu ya samaki nakuja kulipa mkuu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
ingekuwa ME wa Dar wote wapo hivi, Chanika na Dondwe kungeshajaa, wale wenyeji wazaramo wangezidi kusogea porini huko, KE wangerudi kulima maana hakuna namna
 
Inafikirisha sana starehe ya lisaa kimoja ikuingize gharama za namna hiyo, na hata uipige masaa 5 anatoka anadunda, huku wewe ukibaki unapambana na pakiti za AZUMA mpaka unawehuka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siyo ubahili tu, ni kwamba 80k kwako ni kubwa kwa sababu una kipato kidogo.
Ukiwa na kipato kikubwa na gharama zinakuwa kubwa. Utataka ulale hotelini mathalani chumba ni 100k

Hela ya vinywaji na msosi sehemu nzuri sio chini ya 100k.

Na aina ya mwanamke unayemtaka ana matumizi ya juu. Nywele na matumizi yake sio chini ya 200k.

Jumlisha mizunguko ya gari lako sio chini ya 100k.

Ki ufupi 500k itakutoka kwa starehe ya siku moja.
 
Alilipa asee

Kesho yake akaniambia asee kaka nikiwaza ile 90 yangu kwa Yule Malaya kichwa kinaniuma πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huwa inauma sana kufikiria ulioitumia kwenye mambo ya kipumbavu yasio na msingi.
NB
But hii ni kwa wale wanaotafuta hela zao kwa jasho lao halali.
Hata uwe na oesa nying kias gani, lazima ikuume tu πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…