Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 Niko hapa napimbilimbi napigwa na jua kali sanaaa mkuuUnakula bata tu ulaya huku unatucheka meku😄
Mwamba huyo hapo huko ulaya yeye mwenyewe dili😁😁
Napimbilimbi ndio mnakula mbilimbi siku nzima
The redemeer ndio huyo alafu anajifanya mtumishi humuMwamba huyo hapo huko ulaya yeye mwenyewe dili😁😁
View attachment 3252889
unajisahaulisha!Wap tena 😀😀😀😀
Kibaka tu hakuna mtumishiThe redemeer ndio huyo alafu anajifanya mtumishi humu
Ngono haina uhusiano na umaskini wako. Elon Musk ana watoto kadhaa kwa wanawake tofauti ila ni tajiri namba moja. Pia ifike sehemu tukikosa hoja za kisayansi tukae kimya badala ya kuingiza mambo ya kiimani kwenye ishu kama hizi. Unaweza elezea kisayansi kuwa nitaathirika vipi kiuchumi kwa kulala na mwanamke? Lile tendo ni la asili kama kukojoa au kupiga chafya. Earning Money is a result of the value that you created. Halafu kulinganisha maisha ya bushmen na watu wengine ni kutaka kurudi kuishi miaka 1000 iliyopita.Hapa shida ni nini hawa ni watu waliobiwa mateka yaani kufungwa ufahamu ( laana ).
Makatazo ya kutofanya ngono isiyotakaswa kwa maamrisho ya vitabu vyote vya dini ni kwa faida yako wewe Mungu hana hasara lengo usipate magonjwa ya kiroho na kimwili ili uwe na uzima tele uishi milele yaani angalau miaka 100 yenye baraka tele.
Hata wazee wa zamani kabla ya dini walikuwa hawafanyi ngono hovyo hovyo thus watu wote walioga mtoni bila kutamaniana we uoni jamii za bushmen si wapo uchi mbona hawafanyi hovyo ngono,kwa sababu ngono ni hitaji la akili na sio mwili ukiishi maisha ya kiroho maisha ya ndani unaweza ishi bila ngono tukisema ya kiroho sio dini ipo tofauti ya kiroho na kidini.
Kaka mara zote nakuona una akili mingi sana , japo mambo ya uchama ni binafsi sana , ila hongera sanaNgono haina uhusiano na umaskini wako. Elon Musk ana watoto kadhaa kwa wanawake tofauti ila ni tajiri namba moja. Pia ifike sehemu tukikosa hoja za kisayansi tukae kimya badala ya kuingiza mambo ya kiimani kwenye ishu kama hizi. Unaweza elezea kisayansi kuwa nitaathirika vipi kiuchumi kwa kulala na mwanamke? Lile tendo ni la asili kama kukojoa au kupiga chafya. Earning Money is a result of the value that you created. Halafu kulinganisha maisha ya bushmen na watu wengine ni kutaka kurudi kuishi miaka 1000 iliyopita.
Mbona mfalme Suleiman alikuwa tajiri?Ukifanya tafiti utagundua tendo la ngono kidunia ufanyika sana kusini mwa jangwa la Sahara kuliko sehemu zingine za dunia.
Hata ukifanya tafiti unagundua waafrika ndio wanaongoza kwa kuwa na wapenzi wengi kwa wakati mmoja kuliko race zingine.
Ngono ni nini ni tendo la kiroho na kimwili kwa pamoja kwa sababu linahusisha hisia na mwili viungo vya jinsia mbili kusuguana hili kuleta joto kuelekea mshindo satisfaction Kwa mujibu wa elimu ya ngono sexicology elimu zingine uzipati bongo.
Kupitia ngono ndipo kuna kusambazana sana kwa magonjwa yote ya kiroho na kimwili magonjwa ni ya aina mbili ya kiroho na ya kimwili ya kiroho uponywa kwenye nyumba za ibada au kwa waganga wa kiroho ya kimwili uponywa mahospitalini.
Magonjwa ya kiroho yatokanayo na ngono ni kama laana,mikosi, nuksi maandiko yanasema alalae na kahaba amekuwa mwili mmoja na kahaba.
Magonjwa ya kimwili kutokana na ngono ni ukimwi,kisonono, UTI, fungus, mengine home work wewe. Tunaposema umasikini ni nini umasikini ni laana.
Nchi za Africa ndio zinashika raslimali zote za Dunia lakini ndizo zinanuka umasikini si ajabu kukuta nyumba ya nyasi imejengwa juu ya ardhi yenye madini pembeni Pana mto unatirika maji mwaka mzima huku wakazi wa nyumba hizo wakipigwa jua na kuzeeka kwa kwashakoo.
Hapa shida ni nini hawa ni watu waliobiwa mateka yaani kufungwa ufahamu ( laana ).
Makatazo ya kutofanya ngono isiyotakaswa kwa maamrisho ya vitabu vyote vya dini ni kwa faida yako wewe Mungu hana hasara lengo usipate magonjwa ya kiroho na kimwili ili uwe na uzima tele uishi milele yaani angalau miaka 100 yenye baraka tele.
Hata wazee wa zamani kabla ya dini walikuwa hawafanyi ngono hovyo hovyo thus watu wote walioga mtoni bila kutamaniana we uoni jamii za bushmen si wapo uchi mbona hawafanyi hovyo ngono,kwa sababu ngono ni hitaji la akili na sio mwili ukiishi maisha ya kiroho maisha ya ndani unaweza ishi bila ngono tukisema ya kiroho sio dini ipo tofauti ya kiroho na kidini.
Matatizo yamekuja baada ya watu kuigeuza ngono kama burudani au kitega uchumi haya sio matumizi ya asili lengo la ngono ni kuzaliana na sio starehe.
Africa ndo bara tunawaza ngono mda wote we cheki kuanzia kwenye media zetu asubuhi hadi jioni ni maudhui ya ngono tu si tv Wala radio kupitia video na nyimbo plus cheza zote za waafrika ni kukatika viunoni tofauti na wenzetu dance zao utakuta ni za kuruka ruka sio kukata mauno kiashirio cha ngono.
Umejuaje ni kweli?Mbona mfalme Suleiman alikuwa tajiri?
Unataka uone picha au Benki account?Umejuaje ni kweli?
Hizo porn sites ni za waafrica? je unajua huko ndio kunakofanyika uzinzi uliokithiri?Ukifanya tafiti utagundua tendo la ngono kidunia ufanyika sana kusini mwa jangwa la Sahara kuliko sehemu zingine za dunia.
Hata ukifanya tafiti unagundua waafrika ndio wanaongoza kwa kuwa na wapenzi wengi kwa wakati mmoja kuliko race zingine.
Ngono ni nini ni tendo la kiroho na kimwili kwa pamoja kwa sababu linahusisha hisia na mwili viungo vya jinsia mbili kusuguana hili kuleta joto kuelekea mshindo satisfaction Kwa mujibu wa elimu ya ngono sexicology elimu zingine uzipati bongo.
Kupitia ngono ndipo kuna kusambazana sana kwa magonjwa yote ya kiroho na kimwili magonjwa ni ya aina mbili ya kiroho na ya kimwili ya kiroho uponywa kwenye nyumba za ibada au kwa waganga wa kiroho ya kimwili uponywa mahospitalini.
Magonjwa ya kiroho yatokanayo na ngono ni kama laana,mikosi, nuksi maandiko yanasema alalae na kahaba amekuwa mwili mmoja na kahaba.
Magonjwa ya kimwili kutokana na ngono ni ukimwi,kisonono, UTI, fungus, mengine home work wewe. Tunaposema umasikini ni nini umasikini ni laana.
Nchi za Africa ndio zinashika raslimali zote za Dunia lakini ndizo zinanuka umasikini si ajabu kukuta nyumba ya nyasi imejengwa juu ya ardhi yenye madini pembeni Pana mto unatirika maji mwaka mzima huku wakazi wa nyumba hizo wakipigwa jua na kuzeeka kwa kwashakoo.
Hapa shida ni nini hawa ni watu waliobiwa mateka yaani kufungwa ufahamu ( laana ).
Makatazo ya kutofanya ngono isiyotakaswa kwa maamrisho ya vitabu vyote vya dini ni kwa faida yako wewe Mungu hana hasara lengo usipate magonjwa ya kiroho na kimwili ili uwe na uzima tele uishi milele yaani angalau miaka 100 yenye baraka tele.
Hata wazee wa zamani kabla ya dini walikuwa hawafanyi ngono hovyo hovyo thus watu wote walioga mtoni bila kutamaniana we uoni jamii za bushmen si wapo uchi mbona hawafanyi hovyo ngono,kwa sababu ngono ni hitaji la akili na sio mwili ukiishi maisha ya kiroho maisha ya ndani unaweza ishi bila ngono tukisema ya kiroho sio dini ipo tofauti ya kiroho na kidini.
Matatizo yamekuja baada ya watu kuigeuza ngono kama burudani au kitega uchumi haya sio matumizi ya asili lengo la ngono ni kuzaliana na sio starehe.
Africa ndo bara tunawaza ngono mda wote we cheki kuanzia kwenye media zetu asubuhi hadi jioni ni maudhui ya ngono tu si tv Wala radio kupitia video na nyimbo plus cheza zote za waafrika ni kukatika viunoni tofauti na wenzetu dance zao utakuta ni za kuruka ruka sio kukata mauno kiashirio cha ngono.
Vyote kwa pamojaUnataka uone picha au Benki account?
Sikumbuki ati ☺️unajisahaulisha!
Sasa niende wap Kuna pakwenda hapa Africa😀😀😀 na ndugu wamechimba kabisa makabur ya ukoo mzima 😀Na bado hapo ni mwanzo tu kwani umefungwa kamba mguuni?🤣🤣