Ngono ni hitaji namba 3 kwa mwanamke. Lazima uanze kumpa haya mawili kwanza

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Sisi watumishi akili zetu zimekubali kuongozwa na maandiko.

Maandiko katika kutoka 21:10 inatoa list ya mahitaji ya muhimu kwa mke au mwanamke.

1: Chakula.
2: Mavazi.
3: Ngono.

Kabla hujajiandaa kupiga misamba na style mbalimbali za kumfaidi mwanamke wako hakikisha kwanza unamlisha vizuri, unampa mavazi yamfanye ajisikie vizuri hapo tendo la ndoa litaongezeka unono.

Ni hayo tu.

Kutoka 21:10

Kwamba ajitwalia mke mwingine, chakula chake huyo, na nguo zake, na ngono yake, hatampunguzia.
 
Hapo chakula
 
Hawa viumbe hawatabiliki, kuna kamchepuko nilikapenda Balaa ila nikapewa mashart magumu sana,

1β€’ Aliniambia mchana kunyanduana ni marufuku, mbususu italiwa usiku tuu!! 😏😏. ( ila kuichezea na kukagua mbususu mchana Naruhusiwa bila shida)

2 β€’ Siku ya alhamisi usiku na ijumaa pia ni marufuku kunyanduana kwa sababu ni siku za ibada 😏😏.
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…