Ngono ni hitaji namba 3 kwa mwanamke. Lazima uanze kumpa haya mawili kwanza

Pesa ndo kitu cha mhimu kabla ya hivyo vyote
 
Sio kwa mwanamke tu ni kwa Kila binadamu, hayo tunaita mahitaaji muhimu ya binadam ni mara chache saana mtu aliyetimamu kuwaza ngono kama hayo hayajakamilika kwake kwa siku hiyo.
 
Hela inaangukia namba 0 halafu ndo ije 1 chakula
Kwahiyo nikikupa makaratasi mnayoyaita pesa inakutosha wewe na kuchana msamba?

Kimsingi nyie mabinti masikini ambao mmetokea familia duni hamtaki hela ila mnataka vitu ambavyo mnaweza vipata/nunua kwa kutumia pesa.

Mfano. Sikupi karatasi/pesa ila nakupa gari, nakupeleka kwenye migahawa mizuri na kukununulia chakula kitamu, nakununulia nguo na vipodozi n.k.

Nitahakikisha kila hitaji lako nakupatia ila sikupi pesa/karatasi. Je hutanipa huo utam?
 


Kalatasi ❌
Karatasi βœ”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…