Chumvi ni tiba bora kabisa lakini kama mwenzi wako ni mchafu kiroho na kabeba negative energy nyingi unapaswa kujitenga naye ... Maana utajisafisha lakini atakuchafua tenaOkay, inawezekana kutoa nguvu hasi zilizoingia mwilini kutokana na ngono?
Je, chumvi ya mawe hapa inahusika kama tiba?
Je, inakuwaje kila unapotoka kujamiiana na mtu wako umpendae ukawa unaoga maji ya chumvi ya mawe huku ukinuiza nguvu hasi zikutoke (mikosi na liana vya unayengonoka nae).... inafanya kazi?
Au nguvu nyingine zikiingia ndo unaambatana nazo hadi kifo?
Kuna namna ya kurejesha nguvu ulizoziacha kwa uliojamiiana nao? (Rejuvinate your energy)??
Sijui nachanganya madesa...[emoji16][emoji848][emoji848]
Asante, nilitaka ufike hapa, rejea mada namba 1 pale juu.....
Hii kubadilishana nguvu hasi na chanya na roho kuingiliana wakati wa tendo, inafanyika kwenye ngono tuu ambayo ni namba 2 (sex).
Au hata namba 1 (making love)???
Am holding a declaration [emoji4].
Nawe sheria unaichukua mkononi?Bora hata
Wapiga punyeto mmelaanika pia sababu Onani alijamiiana na Mjane (Mke wa Marehemu Kaka yake wa damu) akamwaga gametiume nnje ya uke wa huyo Ke, ilimghadhibisha BWANA.Na sisi wapiga punyeto je
Kuna dada wa kimakonde ilikua ni kutafutana siku ya mizagamuano tu, tunafanya yetu baada ya hapo nilikua nakutana na majanga. Last time hadi nikampotezea ni baada ya kupata ajali usiku huo huoShare ujuzi
Hahaha [emoji1787]Tena nyie ndio kabisa maana mnalisha maroho machafu bila kujijua ndio maana baadhi wanashindwa kutoka huko kutokana na manii zao kuwa tamu hivyo hutekwa kabida na kugeuzwa watumwa wa kuzalisha hicho chakula! Kuna manii chungu pia
Hakuna kitu kama hicho, hapo shetani ndiye anayekufanyia maigizo tupu, kumbuka Ibilisi ndiye Mwasisi Mkuu wa uwongo tangu pale bustanini Eden.Baraka au mikosi ya ngono inategemea unakutana na Nani Kwny ngono?
Kuna wanawake naturally Wana upepo mzuri, ukipiga michongo yako inanyooka.
mfano mzuri:wema sepetu,mamaJ n.k[emoji4]
Kasie Mtata A.K.A Toto zuri la kishua toka Tanga City [emoji1]I feel like declaring something, ila kuna roho imesita....[emoji848][emoji848][emoji848]
1. Making Love (kiswahili chake [emoji2368][emoji2368])
2. Sex (kiswahili chake [emoji2368][emoji2368])
Asemacho Mshana ni uhalisia wa maisha ya mwanadamu, yanatokea kwa wengi.
Kissing The Person You Deeply Truly WantThread ya kukata hamu
Chifu acha kupotosha, hii dhambi itakutafuna hadi kizazi chako cha 3 & 4.Sahii kabisa,
Na asilimia Kubwa ya wenye nyota za mafanikio kupitia ngono, wao hawanufaiki na nyota hizo. Huwa wanakua ni daraja TU.
Juma anaekunyandua ukanenepa,
Utashangaa kuona afya yake yeye kadhoofika.
Shaban anaekunyandua ukachunda,
Utashangaa kuona afya yake kanawiri ile mbaya.
CHUNGUZA HILO MKUU[emoji4]
Tupe mfano hai mkuuYote hayo yanategemea na nyota ya uyo unayepiga,
ndo maana usishangae Wengine wanatumia gharama Kubwa kufanya ngono na flani, Tena kwa ushindan mkubwa sn.
Jicho la tatu lishaona, Ukipiga pale unatoboa.
Ngono inaweza kua Njia ya mafanikio/mikosi[emoji4]
Huyo na Mzabzab wanapaswa kuombewa maana tayari wapo kwenye kifungo cha shetani ambacho huenda hutamani kujikwamua kutoka humo lakini hawajapata nyenzo sahihi ya kung'atukaMzee wa kupambania njoo kwenye ibada
Wakati unaandika hii comment ulikuwa katika state gani kifikra? Sijaelewa kitu..au mimi ni kiazi!!Ngono sio ngono tu; usiwaache wakudanganye.
Unaweza kuondoka, lakini nguvu zao zimefungwa kwako. Mawazo yao, mitetemo yao, na nafsi hufungamana na yako. Ikiwa una uhusiano wa kingono na watu kadhaa kwa wakati mmoja, basi unachukua nguvu kadhaa. Ndio maana kuna wakati unajihisi kuchanganyikiwa, huzuni, uchovu, hasira, furaha, au mfadhaiko. Huishi peke yako tena; una nguvu zao hasi na chanya mchanganyiko.