Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Intuition.. Intimations..!Energy exchange View attachment 2502851
Bro. Jr. Sasa hali hii UNAWEZA KUKABILIANA NAYO?Ngono sio ngono tu; usiwaache wakudanganye.
Unaweza kuondoka, lakini nguvu zao zimefungwa kwako. Mawazo yao, mitetemo yao, na nafsi hufungamana na yako. Ikiwa una uhusiano wa kingono na watu kadhaa kwa wakati mmoja, basi unachukua nguvu kadhaa. Ndio maana kuna wakati unajihisi kuchanganyikiwa, huzuni, uchovu, hasira, furaha, au mfadhaiko. Huishi peke yako tena; una nguvu zao hasi na chanya mchanganyiko.
Kumbe neno SOULMATE ilianzia hapa?!
Angalizo: Tunaongelea ngono sio tendo la ndoa.[emoji817][emoji1545][emoji818]Mshana nikupongeze Mlozi mwenzangu kwa mada hii yenye tafakuri kubwa. Mada hii inagusa ulimwengu wote wa mwili,roho na sayansi. Inategemea umeitazama katika "angle" gani.
Kiroho ngono ni lango la kuzimu. Ni kitendo kinachokuweka karibu na kuzimu yaani ukiwa unafanya "Ngono" kuna kuwa kuna mstari mdogo unaowatenganisha wafanyaji ngono kutoka duniani kwenda akhera. Si ajabu ngono ikawa ni chanzo kikuu cha laana ya dunia yaani hii kwa magonjwa yasiyotibika, kifo,maruhani,maruweruwe,uchafu usiotakata,kimavi katika maisha,kukataliwa,ushoga,majini,kurithi roho za wafu,ufedhuri,laana,kupeana damu mbaya yenye nuksi,mikosi isiyoisha,kafara,matambiko ushago,ufirauni na kadhia zote mbaya za dunia hii basi aghalabu ni malipo ama gawio la kitendo cha ngono. [emoji4]
Angalizo: Tunaongelea ngono sio tendo la ndoa.
Nilsoma na huyo demu kila weekend anagongwa tokeo likija wa kwanzaBaraka au mikosi ya ngono inategemea unakutana na Nani Kwny ngono?
Kuna wanawake naturally Wana upepo mzuri, ukipiga michongo yako inanyooka.
mfano mzuri:wema sepetu,mamaJ n.k[emoji4]
Hii ya kupata mikosi au baraka hata wazungu wa ulaya wanayo sana, ni kwa vile tunajidharau tu ila ishu za kiroho ziko dunia nzimaMaisha ya Mwafrika ni shida. Hakuna kupumzika yaani. Kila siku kuna jipya dah!
Wenzetu wazungu na Waasia huko sijui wanaishije maana inavyoonekana mapepo na al kadabra nyingine za kiroho zimekita mizizi kwa Mwafrika.
Kuzaliwa Afrika aisee ni mzigo!
Laana na mikosi mbalimbali lazima ikuandame, nadra Sana kuwa na maendeleo.Na sisi wapiga punyeto je
Tena nyie ndio kabisa maana mnalisha maroho machafu bila kujijua ndio maana baadhi wanashindwa kutoka huko kutokana na manii zao kuwa tamu hivyo hutekwa kabida na kugeuzwa watumwa wa kuzalisha hicho chakula! Kuna manii chungu pia