Ngono ni ibada na madhabahu

Ngono ni ibada na madhabahu

Energy exchange
JamiiForums1086754499.gif
 
Ngono sio ngono tu; usiwaache wakudanganye.

Unaweza kuondoka, lakini nguvu zao zimefungwa kwako. Mawazo yao, mitetemo yao, na nafsi hufungamana na yako. Ikiwa una uhusiano wa kingono na watu kadhaa kwa wakati mmoja, basi unachukua nguvu kadhaa. Ndio maana kuna wakati unajihisi kuchanganyikiwa, huzuni, uchovu, hasira, furaha, au mfadhaiko. Huishi peke yako tena; una nguvu zao hasi na chanya mchanganyiko.
Bro. Jr. Sasa hali hii UNAWEZA KUKABILIANA NAYO?
 
Mshana nikupongeze Mlozi mwenzangu kwa mada hii yenye tafakuri kubwa. Mada hii inagusa ulimwengu wote wa mwili,roho na sayansi. Inategemea umeitazama katika "angle" gani.

Kiroho ngono ni lango la kuzimu. Ni kitendo kinachokuweka karibu na kuzimu yaani ukiwa unafanya "Ngono" kuna kuwa kuna mstari mdogo unaowatenganisha wafanyaji ngono kutoka duniani kwenda akhera. Si ajabu ngono ikawa ni chanzo kikuu cha laana ya dunia yaani hii kwa magonjwa yasiyotibika, kifo,maruhani,maruweruwe,uchafu usiotakata,kimavi katika maisha,kukataliwa,ushoga,majini,kurithi roho za wafu,ufedhuri,laana,kupeana damu mbaya yenye nuksi,mikosi isiyoisha,kafara,matambiko ushago,ufirauni na kadhia zote mbaya za dunia hii basi aghalabu ni malipo ama gawio la kitendo cha ngono. 😊

Angalizo: Tunaongelea ngono sio tendo la ndoa.
 
Mshana nikupongeze Mlozi mwenzangu kwa mada hii yenye tafakuri kubwa. Mada hii inagusa ulimwengu wote wa mwili,roho na sayansi. Inategemea umeitazama katika "angle" gani.

Kiroho ngono ni lango la kuzimu. Ni kitendo kinachokuweka karibu na kuzimu yaani ukiwa unafanya "Ngono" kuna kuwa kuna mstari mdogo unaowatenganisha wafanyaji ngono kutoka duniani kwenda akhera. Si ajabu ngono ikawa ni chanzo kikuu cha laana ya dunia yaani hii kwa magonjwa yasiyotibika, kifo,maruhani,maruweruwe,uchafu usiotakata,kimavi katika maisha,kukataliwa,ushoga,majini,kurithi roho za wafu,ufedhuri,laana,kupeana damu mbaya yenye nuksi,mikosi isiyoisha,kafara,matambiko ushago,ufirauni na kadhia zote mbaya za dunia hii basi aghalabu ni malipo ama gawio la kitendo cha ngono. [emoji4]

Angalizo: Tunaongelea ngono sio tendo la ndoa.
Angalizo: Tunaongelea ngono sio tendo la ndoa.[emoji817][emoji1545][emoji818]
 
Baraka au mikosi ya ngono inategemea unakutana na Nani Kwny ngono?

Kuna wanawake naturally Wana upepo mzuri, ukipiga michongo yako inanyooka.
mfano mzuri:wema sepetu,mamaJ n.k[emoji4]
Nilsoma na huyo demu kila weekend anagongwa tokeo likija wa kwanza

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Maisha ya Mwafrika ni shida. Hakuna kupumzika yaani. Kila siku kuna jipya dah!

Wenzetu wazungu na Waasia huko sijui wanaishije maana inavyoonekana mapepo na al kadabra nyingine za kiroho zimekita mizizi kwa Mwafrika.

Kuzaliwa Afrika aisee ni mzigo!
Hii ya kupata mikosi au baraka hata wazungu wa ulaya wanayo sana, ni kwa vile tunajidharau tu ila ishu za kiroho ziko dunia nzima
 
Ngono uleta umasikini, huwezi ukawa unawaza ngono huku unawaza maendeleo. Ni vitu viwili visivyoendana.
Nazungumzia maendeleo ya kupambana na sio maendeleo ya ufisadi. Ufisadi ni network ya wizi wa kuiba pesa za walipa kodi, hawa ndio wengi ni wazinzi sababu ya pesa ya wizi. Tajiri mpambanaji ngono kwake ni expenditure, pia uogopa kuzini hovyo hovyo kuepuka magonjwa ya kiroho mfano mtu mwenye nuksi, mikosi, mabalaa, laana ambayo madhara yake uathiri utajiri wao.
 
Na sisi wapiga punyeto je
Laana na mikosi mbalimbali lazima ikuandame, nadra Sana kuwa na maendeleo.
Unaichafua roho yake, unakuwa umewekewa kichwa cha nyoka,k ya mbwa nk yaani ni vitu vichafu Sana ukionyeshwa ktk ulimwengu wa ROHO.
Zile mbegu uchukuliwa na kwenda kuzimu.
1.Kufunga maisha yako.
2.Kutengenezea mapepo.
3.Kuua nguvu zako za kiroho.
4.Kuua NGUVU zako za kiume
5.Kuingiza roho chafu mwilini mwako
6. Hatia ya dhambi ya kuua
 
Tena nyie ndio kabisa maana mnalisha maroho machafu bila kujijua ndio maana baadhi wanashindwa kutoka huko kutokana na manii zao kuwa tamu hivyo hutekwa kabida na kugeuzwa watumwa wa kuzalisha hicho chakula! Kuna manii chungu pia

Punyeto utumika kuzalisha mapepo kuzimu.
 
Kifua cha kahaba kimebeba laana na mikosi mbalimbali inayoachwa pale na wanaume mbalimbali wenye laana na mikosi, ipo hatari ya kubeba mikosi mingine na kuileta kwenye familia.
Unaweza ukabeba ma maroho ya ushoga, ukahaba, wizi, uteja, jela, umasikini, hasira, nk ukayaingiza nyumbani kwako then yakavaa watoto wako.
Ni hatari sana kufanya ngono kahaba kwenye gari ya familia au unayotumia na familia.
Ngono ni mlango mchafu, thus nyuma ya neno UCHI kuna neno KIFO. Utakufa kiroho na kimwili pia.
 
Back
Top Bottom