Hapana, ngono sio kitu pekee kinacholeta maana halisi ya kufunga ndoa. Ingawa tendo la ndoa ni nguzo muhimu sana ya kimwili na kiroho, ndoa ni taasisi pana zaidi inayounganisha maisha ya watu wawili katika nyanja nyingi.Ni kwanini liliamua kuitwa tendo la ndoa je ndoa ni ngono pekee ndo inaleta maana ya halisi ya kufunga ndoa
Ukiwa haupo kwenye ndoa na ukafanya ngono upati starehe na tulizo la nafsi?Hapana, ngono sio kitu pekee kinacholeta maana halisi ya kufunga ndoa. Ingawa tendo la ndoa ni nguzo muhimu sana ya kimwili na kiroho, ndoa ni taasisi pana zaidi inayounganisha maisha ya watu wawili katika nyanja nyingi.
Nzuri piaUnapata kama kuna upendo na kuaminiana
Hivyo, tudinyane ili tuongeze siku zetu za kuishi.πππIjapokuwa tendo la kudinyana ni la aibu sana, ila nakubaliana na wewe.
Bila watu fulani kudinyana Mimi na wewe tusingekuwepo.
Hivyo, tudinyane ili tuongeze siku zetu za kuishi.
Full stop! π.Hivyo, tudinyane ili tuongeze siku zetu za kuishi.πππ
Kukiwa na muda kama hakuna muda ni style moja tu ile ya inama nilengeNa maandalizi ni muhimu pia
ChaiKufanya ngono salama na yenye upendo huongeza maisha ya binadamu badala ya kuyafupisha, kwani tendo hili huboresha afya ya mwili na roho kwa wakati mmoja.
Kisayansi, watu wanaoshiriki tendo la ndoa mara kwa mara hupunguza hatari ya kufa mapema kwa asilimia 50 kutokana na .
kuimarika kwa afya ya moyo,
kushuka kwa shinikizo la damu,
Kuongezeka kwa kinga ya mwili dhidi ya magonjwa.
Kiroho, tendo la ndoa ndani ya kiapo cha uaminifu ni zawadi takatifu na kielelezo cha juu cha muungano wa nafsi mbili kuwa mwili mmoja,
jambo linaloleta amani ya ndani na baraka.
Wakati wa kilele, ubongo hutoa homoni za oxytocin na endorphins zinazoondoa msongo wa mawazo, wasiwasi, na sonona,
huku zikichochea utulivu mkubwa wa kiroho unaomfanya mtu ajihisi salama na mwenye thamani.
Zaidi ya hayo, kwa wanaume, kusafisha tezi dume mara kwa mara hupunguza hatari ya saratani, na kwa jinsia zote, upendo huu hulinda seli za DNA zisizee haraka.
Hata hivyo, faida hizi za kimwili na kiroho hupatikana tu pale tendo linapofanyika kwa uaminifu na ridhaa, kwani ngono holela huchafua roho na kuleta magonjwa yanayofupisha maisha.
π€π€Chai
Ngono salama ya kufika mshindo, maana unaweza ukafanya ngono na usifike mshindo..Kufanya ngono salama na yenye upendo huongeza maisha ya binadamu badala ya kuyafupisha, kwani tendo hili huboresha afya ya mwili na roho kwa wakati mmoja.
Kisayansi, watu wanaoshiriki tendo la ndoa mara kwa mara hupunguza hatari ya kufa mapema kwa asilimia 50 kutokana na .
kuimarika kwa afya ya moyo,
kushuka kwa shinikizo la damu,
Kuongezeka kwa kinga ya mwili dhidi ya magonjwa.
Kiroho, tendo la ndoa ndani ya kiapo cha uaminifu ni zawadi takatifu na kielelezo cha juu cha muungano wa nafsi mbili kuwa mwili mmoja,
jambo linaloleta amani ya ndani na baraka.
Wakati wa kilele, ubongo hutoa homoni za oxytocin na endorphins zinazoondoa msongo wa mawazo, wasiwasi, na sonona,
huku zikichochea utulivu mkubwa wa kiroho unaomfanya mtu ajihisi salama na mwenye thamani.
Zaidi ya hayo, kwa wanaume, kusafisha tezi dume mara kwa mara hupunguza hatari ya saratani, na kwa jinsia zote, upendo huu hulinda seli za DNA zisizee haraka.
Hata hivyo, faida hizi za kimwili na kiroho hupatikana tu pale tendo linapofanyika kwa uaminifu na ridhaa, kwani ngono holela huchafua roho na kuleta magonjwa yanayofupisha maisha.
Baelezeeeee baeleweeeNgono salama ya kufika mshindo, maana unaweza ukafanya ngono na usifike mshindo..
Waulize wanawake πππ