Ngono salama hurefusha umri wa kuishi na kuimarisha afya ya mwili

Ngono salama hurefusha umri wa kuishi na kuimarisha afya ya mwili

Tendo la ndoa au kuita ngono hakuna mahusiano yoyote kiroho.

Hakuna mahali iwe kwenye biblia au pengine popote tendo la mwilini likahuisha roho.

Kama unao mfano toka kwenye biblia tuwekee hapa tuuone, vinginevyo umeandika tu mawazo yako.

Kama tendo la ndoa/ngono lingekuwa na uzito au maana yoyote kiroho, basi hata Yesu Kristu angekuwa na mke, lakini hakuwa nae.

Najua huu uzi umeuleta kuwakumbusha watoto humu ndani waache ngono zembe, hasa huyo aliyeanzisha uzi kuuliza wenzie vikojoleo vyao havijagusana muda gani.

Lakini sababu ulizotumia hasa hiyo ya kiroho naipinga kabisa.
 
Umetoka kusema je kule we GenZ wa kuchovya🤪😅🙌
083ccf95-682c-4f1f-9fef-08506c63d8ad.jpeg
 
Part B

Kufanya ngono mara kwa mara na wanawake tofauti hufupisha maisha.
Hatari za Kimwili Zinalofupisha MaishaMagonjwa ya Ngono (STIs):

Huongeza hatari ya kupata VVU/UKIMWI, kaswende, kisonono, na homa ya ini (Hepatitis B & C) ambavyo hushambulia mwili na kufupisha maisha

Saratani ya Kizazi na Koo: Huongeza uwezekano wa kupata na kusambaza virusi vya HPV (Human Papillomavirus), vinavyosababisha saratani ya shingo ya uzazi kwa wanawake na saratani ya koo/ume kwa wanaume.

Shinikizo la Damu na Moyo:
Siri na hofu ya kugundulika (uhaini wa mapenzi) huongeza homoni ya cortisol, inayoongeza mapigo ya moyo na kusababisha kiharusi (stroke).

Madhara ya Kiroho na Kisaikolojia

Kuchafuka kwa Roho:
Kiroho, ngono ya holela huvunja agano la uaminifu na kutawanya nguvu zako za ndani (soul ties) kwa watu wengi, jambo linaloleta upweke na kukatika kwa amani ya kiroho.

Msongo wa Mawazo (Stress): Kuishi maisha ya siri, uwongo, na hofu ya kusababisha mimba zisizotarajiwa au kufumaniwa huchosha akili na kudhoofisha kinga ya mwili.
Hii Part B imekaa kikuda kuda sana.
 
Ngono hushusha na hudhoofisha mahusiano na Mwenyezi Mungu,iwe unafanya na mkeo au yeyote yule. hivyo ndugu zangu tufanye ngono kwa kiasi.
 
Back
Top Bottom