Ngono salama hurefusha umri wa kuishi na kuimarisha afya ya mwili

Tendo la ndoa au kuita ngono hakuna mahusiano yoyote kiroho.

Hakuna mahali iwe kwenye biblia au pengine popote tendo la mwilini likahuisha roho.

Kama unao mfano toka kwenye biblia tuwekee hapa tuuone, vinginevyo umeandika tu mawazo yako.

Kama tendo la ndoa/ngono lingekuwa na uzito au maana yoyote kiroho, basi hata Yesu Kristu angekuwa na mke, lakini hakuwa nae.

Najua huu uzi umeuleta kuwakumbusha watoto humu ndani waache ngono zembe, hasa huyo aliyeanzisha uzi kuuliza wenzie vikojoleo vyao havijagusana muda gani.

Lakini sababu ulizotumia hasa hiyo ya kiroho naipinga kabisa.
 
Hii Part B imekaa kikuda kuda sana.
 
Ngono hushusha na hudhoofisha mahusiano na Mwenyezi Mungu,iwe unafanya na mkeo au yeyote yule. hivyo ndugu zangu tufanye ngono kwa kiasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…