Ngorongoro: Kuelewa Uamuzi wa serikali

Ngorongoro: Kuelewa Uamuzi wa serikali

Nimeona umeitaja selous...ambayo kwa sasa ni nyerere national park....sidhani kama umeshawahi kufika ama kufuatilia vizuri ndani ya hifadhi hiyo kinafanyika nini.?
Unawatoa wamasai Ngorongoro, then unaacha warusi wanafanya wanayoyafanya hapo selous...ndani ya hifadhi ya nyerere.
Wewe ukiwa na plot Masaki au Mbweni utaweka zizi la ng'ombe? ardhi ni mali ya Tanzania sehemu yenye maslahi ya taifa italindwa wamasai sio kwamba hawana productivity yoyote kwenye ardhi yenye rasilimali ya taifa wao wanajaza mifugo bila mpangilio baya zaidi wanapokea wamasai wa Kenya wengi wamekosa kwao sehemu za kufuga, wacha waingine Kenya masai mara tuone kama wanaweza. Ardhi yoyote ikigundulika ina madini au mafuta mtapewa tu compensation itabidi mpishe kazi za kiuchumi zifanyike.
 
Kuna kitu bado serikali haikijui au haijakiangalia vizuri, au inakidharau khs jamii za maasai. Na hiki ndo kinaleta frictions hizi zote.

Mkuu hayo mazingira mnayoita mazuri mliyoweka huko Msomera kwa wamasai siyo kipaumbele, na wala siyo mahitaji ya lazima kwao.

Kiujumla serikali ilikuja na changamoto zake halafu ikaziita changamoto za wamasai Ngorongoro, then ikazitafutia ufumbuzi huko Msomera. This was not good approach.

Hayo mazingira mliyoweka huko Msomera siyo ishu kwa wamaasai.

Natamani kuongea sana, natamani mdahalo tuelimishane zaidi, natamani kupaza sauti sana kwa serikali ili ije na mpango mbadala utakaoleta matokeo chanya kwa wamasaai na kwa uhifadhi.

Duuh hapa ndo hasa shida ilipoanzia, na serikali nayo ikaenda na mtazamo huu huko Msomera

We kwan nani alikwambia kulima na kujenga makazi ya kudumu ni priority kwa wamaasai
Wanasaidiwa kutolewa kwenye ujima,
 
Kuna watu humu ndio wanajifanya wanajali sana wamasai toka lini? JPM aliwavunjia watu nyuma Kimara mlikuwa wapi kimyaa wapumbavu nyinyi leo ndio kimbelembele Wa Masai fyoookoo.

Hakuna ardhi ya kabila yoyote na wao wamasai wakienda mahakamani tunapima DNA wote 80% tutakuta ni wa Kenya tuwarudisha Namanga warudi kwao na mifugo yao.

Nyinyi kila kitu ni kupinga tu mmepinga bandari na ngonjera zenu kiko wapi. Serikali za mitaa wanachukuwa CCM, 2025 wanachukua sasa roho nyeusi mipaka iko wazi ya Kenya.
 
Wamaasai wanaohamishiwa kutoka Ngorongoro kwenda Msomera wanapatiwa faida kadhaa na mambo muhimu yanayolenga kuboresha maisha yao na kuhakikisha kuwa wanaweza kuendeleza utamaduni wao katika mazingira mapya. Hizi ni baadhi ya faida na mambo wanayopata kule Msomera:

1. Makazi BoraKila familia ya Wamaasai inapewa nyumba mpya zilizojengwa kwa viwango vya kisasa. Nyumba hizi zina huduma muhimu kama vile maji safi na mifumo ya usafi, ambazo mara nyingi zimekuwa changamoto kubwa kwao katika eneo la Ngorongoro.

2. Ardhi kwa Kilimo na Ufugaji Wamaasai wanapewa ardhi ya kutosha kwa ajili ya makazi, kilimo, na ufugaji. Ardhi hii inawawezesha kuendeleza shughuli zao za kiasili za ufugaji wa mifugo huku wakipanua pia katika kilimo, jambo ambalo linachangia kuboresha usalama wao wa chakula.

3. Huduma za Kijamii
Msomera ina huduma bora zaidi za kijamii ikilinganishwa na Ngorongoro. Wamaasai wanapata huduma bora za afya, zikiwemo zahanati na vituo vya afya, ambavyo vimeboreshwa kwa ajili ya kuhudumia jamii yao. Pia, kuna shule zilizo karibu ambazo zinawapa watoto wa Wamaasai fursa ya kupata elimu bora.

4. Maji Safi na Salama
Upatikanaji wa maji safi na salama ni faida kubwa kwa Wamaasai huko Msomera. Serikali imeweka miundombinu ya maji, kuhakikisha kuwa maji yanapatikana kwa urahisi kwa matumizi ya nyumbani na kwa mifugo, hali inayoboresha afya na ustawi wa jamii.

5. Usaidizi kwa Ufugaji na Kilimo
Serikali inatoa msaada kwa Wamaasai katika uendelezaji wa ufugaji na kilimo. Hii inajumuisha huduma za mifugo kama vile matibabu ya mifugo (veterinary services), ushauri wa kilimo, na mbegu bora. Msaada huu unalenga kuboresha uzalishaji wa mifugo na mazao, hivyo kuongeza kipato cha familia za Wamaasai.

6. Fursa za Kijamii na Kiuchumi
Kukaa Msomera kunawapa Wamaasai fursa za kiuchumi ambazo hazikuwepo Ngorongoro. Hii inajumuisha biashara ndogo ndogo, kilimo cha mazao ya biashara, na ufugaji wenye tija zaidi. Aidha, upatikanaji wa masoko ya karibu na miundombinu bora ya usafiri inawawezesha kuuza bidhaa zao kwa urahisi zaidi.

7. Utunzaji wa Mazingira na Maliasili
Kwa kuhamishiwa Msomera, Wamaasai wanapunguziwa mzigo wa athari za utunzaji wa mazingira katika eneo la Ngorongoro, ambalo limekuwa chini ya shinikizo kubwa kutokana na ongezeko la watu na mifugo. Katika Msomera, wana fursa ya kuendesha maisha yao bila kuathiri mazingira ya urithi wa dunia.

8. Usalama wa Chakula na Mifugo
Katika Msomera, kuna upatikanaji mzuri wa malisho na maji kwa ajili ya mifugo, ikilinganishwa na hali ngumu ya malisho Ngorongoro. Hii inasaidia kuhakikisha kuwa mifugo inapata lishe bora, ambayo ni msingi wa uchumi na utamaduni wa Wamaasai.

9. Kuunganishwa na Huduma za Serikali
Kukaa karibu na miundombinu na huduma za serikali kunawapa Wamaasai urahisi wa kupata huduma za kiutawala, msaada wa kijamii, na miradi ya maendeleo ambayo inatekelezwa na serikali kwa lengo la kuinua hali ya maisha ya wananchi wake.Kwa ujumla, faida hizi zote zinachangia kuboresha maisha ya Wamaasai na kuwawezesha kuishi kwa njia endelevu katika mazingira yao mapya, huku wakihifadhi utamaduni wao na kuendelea na shughuli zao za kiasili.
Sema tu huwafahamu vizuri wamasai,wao wanajali tamaduni zao zaidi. Hawajawahi shindwa kujenga nyumba unazoziita wewe bora
 
Hizo huduma zote wakapewe Wazanzibar ili waamie Tanga. Kisiwa kiwe huru kwa masuala ya utalii tu na utunzaji wa bahari.
 
Kuwaswaga Wamasai kama Mifugo kutoka kwenye Ancestral Lands za Mababu zao sio POA kabisa.
 
Uamuzi wa serikali wa kuhamisha jamii ya Wamasai kutoka Ngorongoro kwenda Msomera ni hatua yenye msingi wa kisheria na kisiasa, inayolenga kulinda maslahi ya taifa pamoja na kuhifadhi mazingira. Hatua hii, ingawa imeibua hisia mchanganyiko, inafuata mwelekeo wa matukio mengine yaliyowahi kutokea nchini Tanzania na kwingineko duniani, ambako serikali zimechukua hatua za kulinda maliasili na kuhakikisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Katika historia ya Tanzania, serikali imewahi kuchukua hatua kama hii katika maeneo mengine kwa lengo la kuhifadhi mazingira au kuwezesha maendeleo. Mfano wa kwanza ni kuundwa kwa Hifadhi ya Selous miaka ya (1950-1970), ambapo jamii za Wadengereko na Wamatumbi zilihamishwa ili kupisha eneo hilo kuwa hifadhi ya wanyamapori.
Hifadhi hii ni mojawapo ya maeneo ya urithi wa dunia yaliyoko chini ya uangalizi wa UNESCO. Pia, mwaka 1988, jamii ya Waparakuyo wa Kimasai walihamishwa ili kupisha kuundwa kwa Hifadhi ya Mkomazi. Hifadhi hii inajulikana kwa juhudi zake za kulinda wanyamapori, hasa faru weusi. Aidha, uanzishwaji wa Hifadhi ya Taifa ya Tarangire mwaka 1970 ulipelekea kuhamishwa kwa jamii nyingine ya Wamasai kutoka eneo hilo ili kuwezesha utunzaji wa mazingira na uhifadhi wa wanyamapori. Sambamba na hayo, sera ya Ujamaa na Kujitegemea iliyotekelezwa kati ya mwaka 1967 na 1973 ilisababisha kuhamishwa kwa mamilioni ya watu kutoka maeneo yao ya asili kwenda kwenye vijiji vya Ujamaa. Lengo lilikuwa ni kuimarisha utoaji wa huduma za kijamii kama vile elimu, afya na maji, pamoja na kuongeza uzalishaji wa kilimo. Matukio haya yameonyesha kuwa, wakati mwingine, serikali inalazimika kuchukua hatua za kipekee kwa maslahi ya taifa na maendeleo endelevu. Kuhamishwa kwa jamii ya Wamasai kutoka Ngorongoro kwenda Msomera ni mwendelezo wa juhudi hizi za kuhakikisha kuwa maeneo ya urithi wa dunia yanahifadhiwa ipasavyo, wakati huo huo kuwapa wananchi nafasi ya kuishi kwenye maeneo yanayofaa kwa makazi na maendeleo.
Uamuzi wa kuhamisha jamii kwa ajili ya uhifadhi wa mazingira au maendeleo si jambo geni duniani. Nchini Canada kwa mfano, jamii ya Sayisi Dene ilihamishwa katika miaka ya 1950 kwa madai ya kulinda wanyamapori. Huko Brazil, ujenzi wa Bwawa la Belo Monte katika miaka ya 2010 ulipelekea kuhamishwa kwa maelfu ya watu wa jamii za asili ili kupisha mradi huo mkubwa wa nishati. Nchini Lesotho, mradi wa Maji wa Lesotho Highlands ulioanza mwaka 1986 ulisababisha kuhamishwa kwa jamii kadhaa ili kupisha ujenzi wa mabwawa kwa ajili ya uzalishaji wa umeme na usambazaji wa maji kwa nchi jirani. Vilevile, nchini India, mradi wa Bwawa la Narmada uliosababisha kuhamishwa kwa maelfu ya watu ili kupisha ujenzi wa bwawa kubwa kwa ajili ya umwagiliaji na uzalishaji wa umeme. Uamuzi kama huo umetokea China n kwingineko.
Kisheria, uamuzi wa serikali kuhamisha Wamasai unazingatia sheria za kitaifa zinazohusu uhifadhi wa mazingira na maendeleo ya kijamii. Sheria ya Ardhi ya Tanzania na Sheria ya Uhifadhi wa Mazingira zinatoa mamlaka kwa serikali kuchukua hatua za kulinda maeneo ya urithi wa dunia na kuhakikisha matumizi endelevu ya rasilimali. Zaidi ya hayo, Katiba ya Tanzania inatoa haki kwa serikali kuchukua ardhi kwa maslahi ya umma, kwa sharti la kutoa fidia stahiki. Kisiasa, uamuzi huu unalenga kulinda maslahi ya taifa kwa ujumla, kwa kuhakikisha kuwa maeneo yenye thamani kubwa ya kiasili kama Ngorongoro yanahifadhiwa ipasavyo. Pia, unatoa fursa kwa jamii za Wamasai kupata maeneo mbadala yenye huduma bora zaidi za kijamii, kama vile afya, elimu, na maji, ambazo zimekuwa changamoto kubwa katika eneo la Ngorongoro. Wamasai wanamilikishwa ardhi kubwa wanazopewa ili kuwapatia uhakika wa makazi ya kudumu, malisho ya mifugo yao na usalama wa chakula. Mila na tamaduni zao zinalindwa na wataziendeleza.
Kwa ujumla, uamuzi wa kuhamisha Wamasai kutoka Ngorongoro kwenda Msomera ni hatua yenye msingi imara wa kisheria na kisiasa. Ingawa kuna changamoto zinazohusiana na utekelezaji wa hatua hii, Lakini zinafanyiwa kazi ili zoezi liweze kuwa na manufaa makubwa.
Kajifunze uandishi ndo uje kupangilia huu upumbavu wako.
 
Manufaa kwa mwarabu? kila eneo nyeti mnaweka "wajomba" zenu!!!

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Kiongozi, naona kama ulipotea kwa muda mrefu! Karibu tena.
 
Angalau unaonekana una hoja japo hukuiweka wazi,,,watu wengine wanaishia kutukana tu badala ya kujibu hoja.
 
Kuna kitu bado serikali haikijui au haijakiangalia vizuri, au inakidharau khs jamii za maasai. Na hiki ndo kinaleta frictions hizi zote.

Mkuu hayo mazingira mnayoita mazuri mliyoweka huko Msomera kwa wamasai siyo kipaumbele, na wala siyo mahitaji ya lazima kwao.

Kiujumla serikali ilikuja na changamoto zake halafu ikaziita changamoto za wamasai Ngorongoro, then ikazitafutia ufumbuzi huko Msomera. This was not good approach.

Hayo mazingira mliyoweka huko Msomera siyo ishu kwa wamaasai.

Natamani kuongea sana, natamani mdahalo tuelimishane zaidi, natamani kupaza sauti sana kwa serikali ili ije na mpango mbadala utakaoleta matokeo chanya kwa wamasaai na kwa uhifadhi.

Duuh hapa ndo hasa shida ilipoanzia, na serikali nayo ikaenda na mtazamo huu huko Msomera

We kwan nani alikwambia kulima na kujenga makazi ya kudumu ni priority kwa wamaasai
Kusoma sio priority kwa wamasai, je ungependa Serikali isiwawekee miundombinu ya elimu? Yaani kama kila Kabila au jamii litaachwa na vipaumbele vyake ndio tutaendelea kuwa na taifa kweli? Kule pwani wazaramo na wandengereko waendelee kucheza unyago wao na kisha wawaachishe watoto kusoma kisa kipaumbele chao sio elimu bali Ngoma l, sivyo?

Hivi nyie watu vichwa vyenu mmejaza nini? Mbona mna ma GPA makubwa lakini ni wajinga kabisa?
 
Tatzo sio kuwahamisha Wamasai tatzo ni sababu za hao masai kuhamishwa, Why taking people to another area without any beneficial reasoning behind nyie mnahamisha masai ili mchimbe madini ambayo hayataifaidisha taifa hili chchte.

Watu wanapiga kelele kwa sababu mnawagawia ardhi waarabu ni hvo tu.
 
Uamuzi wa serikali wa kuhamisha jamii ya Wamasai kutoka Ngorongoro kwenda Msomera ni hatua yenye msingi wa kisheria na kisiasa, inayolenga kulinda maslahi ya taifa pamoja na kuhifadhi mazingira. Hatua hii, ingawa imeibua hisia mchanganyiko, inafuata mwelekeo wa matukio mengine yaliyowahi kutokea nchini Tanzania na kwingineko duniani, ambako serikali zimechukua hatua za kulinda maliasili na kuhakikisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Katika historia ya Tanzania, serikali imewahi kuchukua hatua kama hii katika maeneo mengine kwa lengo la kuhifadhi mazingira au kuwezesha maendeleo. Mfano wa kwanza ni kuundwa kwa Hifadhi ya Selous miaka ya (1950-1970), ambapo jamii za Wadengereko na Wamatumbi zilihamishwa ili kupisha eneo hilo kuwa hifadhi ya wanyamapori.
Hifadhi hii ni mojawapo ya maeneo ya urithi wa dunia yaliyoko chini ya uangalizi wa UNESCO. Pia, mwaka 1988, jamii ya Waparakuyo wa Kimasai walihamishwa ili kupisha kuundwa kwa Hifadhi ya Mkomazi. Hifadhi hii inajulikana kwa juhudi zake za kulinda wanyamapori, hasa faru weusi. Aidha, uanzishwaji wa Hifadhi ya Taifa ya Tarangire mwaka 1970 ulipelekea kuhamishwa kwa jamii nyingine ya Wamasai kutoka eneo hilo ili kuwezesha utunzaji wa mazingira na uhifadhi wa wanyamapori. Sambamba na hayo, sera ya Ujamaa na Kujitegemea iliyotekelezwa kati ya mwaka 1967 na 1973 ilisababisha kuhamishwa kwa mamilioni ya watu kutoka maeneo yao ya asili kwenda kwenye vijiji vya Ujamaa. Lengo lilikuwa ni kuimarisha utoaji wa huduma za kijamii kama vile elimu, afya na maji, pamoja na kuongeza uzalishaji wa kilimo. Matukio haya yameonyesha kuwa, wakati mwingine, serikali inalazimika kuchukua hatua za kipekee kwa maslahi ya taifa na maendeleo endelevu. Kuhamishwa kwa jamii ya Wamasai kutoka Ngorongoro kwenda Msomera ni mwendelezo wa juhudi hizi za kuhakikisha kuwa maeneo ya urithi wa dunia yanahifadhiwa ipasavyo, wakati huo huo kuwapa wananchi nafasi ya kuishi kwenye maeneo yanayofaa kwa makazi na maendeleo.
Uamuzi wa kuhamisha jamii kwa ajili ya uhifadhi wa mazingira au maendeleo si jambo geni duniani. Nchini Canada kwa mfano, jamii ya Sayisi Dene ilihamishwa katika miaka ya 1950 kwa madai ya kulinda wanyamapori. Huko Brazil, ujenzi wa Bwawa la Belo Monte katika miaka ya 2010 ulipelekea kuhamishwa kwa maelfu ya watu wa jamii za asili ili kupisha mradi huo mkubwa wa nishati. Nchini Lesotho, mradi wa Maji wa Lesotho Highlands ulioanza mwaka 1986 ulisababisha kuhamishwa kwa jamii kadhaa ili kupisha ujenzi wa mabwawa kwa ajili ya uzalishaji wa umeme na usambazaji wa maji kwa nchi jirani. Vilevile, nchini India, mradi wa Bwawa la Narmada uliosababisha kuhamishwa kwa maelfu ya watu ili kupisha ujenzi wa bwawa kubwa kwa ajili ya umwagiliaji na uzalishaji wa umeme. Uamuzi kama huo umetokea China n kwingineko.
Kisheria, uamuzi wa serikali kuhamisha Wamasai unazingatia sheria za kitaifa zinazohusu uhifadhi wa mazingira na maendeleo ya kijamii. Sheria ya Ardhi ya Tanzania na Sheria ya Uhifadhi wa Mazingira zinatoa mamlaka kwa serikali kuchukua hatua za kulinda maeneo ya urithi wa dunia na kuhakikisha matumizi endelevu ya rasilimali. Zaidi ya hayo, Katiba ya Tanzania inatoa haki kwa serikali kuchukua ardhi kwa maslahi ya umma, kwa sharti la kutoa fidia stahiki. Kisiasa, uamuzi huu unalenga kulinda maslahi ya taifa kwa ujumla, kwa kuhakikisha kuwa maeneo yenye thamani kubwa ya kiasili kama Ngorongoro yanahifadhiwa ipasavyo. Pia, unatoa fursa kwa jamii za Wamasai kupata maeneo mbadala yenye huduma bora zaidi za kijamii, kama vile afya, elimu, na maji, ambazo zimekuwa changamoto kubwa katika eneo la Ngorongoro. Wamasai wanamilikishwa ardhi kubwa wanazopewa ili kuwapatia uhakika wa makazi ya kudumu, malisho ya mifugo yao na usalama wa chakula. Mila na tamaduni zao zinalindwa na wataziendeleza.
Kwa ujumla, uamuzi wa kuhamisha Wamasai kutoka Ngorongoro kwenda Msomera ni hatua yenye msingi imara wa kisheria na kisiasa. Ingawa kuna changamoto zinazohusiana na utekelezaji wa hatua hii, Lakini zinafanyiwa kazi ili zoezi liweze kuwa na manufaa makubwa.
Unesema yote kabisa, sina cha kuongeza
 
Kusoma sio priority kwa wamasai, je ungependa Serikali isiwawekee miundombinu ya elimu? Yaani kama kila Kabila au jamii litaachwa na vipaumbele vyake ndio tutaendelea kuwa na taifa kweli? Kule pwani wazaramo na wandengereko waendelee kucheza unyago wao na kisha wawaachishe watoto kusoma kisa kipaumbele chao sio elimu bali Ngoma l, sivyo?

Hivi nyie watu vichwa vyenu mmejaza nini? Mbona mna ma GPA makubwa lakini ni wajinga kabisa?
Ngoja nikuache tu sababu hutaki mjadala, unalazimisha yako ndo yawe sahihi
 
Wamaasai wanaohamishiwa kutoka Ngorongoro kwenda Msomera wanapatiwa faida kadhaa na mambo muhimu yanayolenga kuboresha maisha yao na kuhakikisha kuwa wanaweza kuendeleza utamaduni wao katika mazingira mapya. Hizi ni baadhi ya faida na mambo wanayopata kule Msomera:

1. Makazi BoraKila familia ya Wamaasai inapewa nyumba mpya zilizojengwa kwa viwango vya kisasa. Nyumba hizi zina huduma muhimu kama vile maji safi na mifumo ya usafi, ambazo mara nyingi zimekuwa changamoto kubwa kwao katika eneo la Ngorongoro.

2. Ardhi kwa Kilimo na Ufugaji Wamaasai wanapewa ardhi ya kutosha kwa ajili ya makazi, kilimo, na ufugaji. Ardhi hii inawawezesha kuendeleza shughuli zao za kiasili za ufugaji wa mifugo huku wakipanua pia katika kilimo, jambo ambalo linachangia kuboresha usalama wao wa chakula.

3. Huduma za Kijamii
Msomera ina huduma bora zaidi za kijamii ikilinganishwa na Ngorongoro. Wamaasai wanapata huduma bora za afya, zikiwemo zahanati na vituo vya afya, ambavyo vimeboreshwa kwa ajili ya kuhudumia jamii yao. Pia, kuna shule zilizo karibu ambazo zinawapa watoto wa Wamaasai fursa ya kupata elimu bora.

4. Maji Safi na Salama
Upatikanaji wa maji safi na salama ni faida kubwa kwa Wamaasai huko Msomera. Serikali imeweka miundombinu ya maji, kuhakikisha kuwa maji yanapatikana kwa urahisi kwa matumizi ya nyumbani na kwa mifugo, hali inayoboresha afya na ustawi wa jamii.

5. Usaidizi kwa Ufugaji na Kilimo
Serikali inatoa msaada kwa Wamaasai katika uendelezaji wa ufugaji na kilimo. Hii inajumuisha huduma za mifugo kama vile matibabu ya mifugo (veterinary services), ushauri wa kilimo, na mbegu bora. Msaada huu unalenga kuboresha uzalishaji wa mifugo na mazao, hivyo kuongeza kipato cha familia za Wamaasai.

6. Fursa za Kijamii na Kiuchumi
Kukaa Msomera kunawapa Wamaasai fursa za kiuchumi ambazo hazikuwepo Ngorongoro. Hii inajumuisha biashara ndogo ndogo, kilimo cha mazao ya biashara, na ufugaji wenye tija zaidi. Aidha, upatikanaji wa masoko ya karibu na miundombinu bora ya usafiri inawawezesha kuuza bidhaa zao kwa urahisi zaidi.

7. Utunzaji wa Mazingira na Maliasili
Kwa kuhamishiwa Msomera, Wamaasai wanapunguziwa mzigo wa athari za utunzaji wa mazingira katika eneo la Ngorongoro, ambalo limekuwa chini ya shinikizo kubwa kutokana na ongezeko la watu na mifugo. Katika Msomera, wana fursa ya kuendesha maisha yao bila kuathiri mazingira ya urithi wa dunia.

8. Usalama wa Chakula na Mifugo
Katika Msomera, kuna upatikanaji mzuri wa malisho na maji kwa ajili ya mifugo, ikilinganishwa na hali ngumu ya malisho Ngorongoro. Hii inasaidia kuhakikisha kuwa mifugo inapata lishe bora, ambayo ni msingi wa uchumi na utamaduni wa Wamaasai.

9. Kuunganishwa na Huduma za Serikali
Kukaa karibu na miundombinu na huduma za serikali kunawapa Wamaasai urahisi wa kupata huduma za kiutawala, msaada wa kijamii, na miradi ya maendeleo ambayo inatekelezwa na serikali kwa lengo la kuinua hali ya maisha ya wananchi wake.Kwa ujumla, faida hizi zote zinachangia kuboresha maisha ya Wamaasai na kuwawezesha kuishi kwa njia endelevu katika mazingira yao mapya, huku wakihifadhi utamaduni wao na kuendelea na shughuli zao za kiasili.
Utamaduni unaendelezwa katika mazingira yake ya asili, hii ni pamoja na matambiko yanayoenda na mila na desturi za watu katika eneo husika. Unaposema kuwa wamasai wa Ngorongoro watahamishiwa sehemu nyingine, unafikiri utakuwa una nia ya kuendeleza utamaduni au kuendeleza utamaduni wa wafadhili na wewe utanufaika kwa kupiga debe na kuzawadiwa cheo na marupurupu? 😳 🤔🤔
 
SERIKALI TUMEIPA MAMLAKA YA KUAMUA KWA NIABA YETU,UFIFADHI WA MBUGA ZA WANYAMA NI SUALA LA KITAIFA,SERIKALI ISONGE MBELE,KELELE ZA WAJINGA HAZINA MPANGO WOWOTE.
 
Uamuzi wa serikali wa kuhamisha jamii ya Wamasai kutoka Ngorongoro kwenda Msomera ni hatua yenye msingi wa kisheria na kisiasa, inayolenga kulinda maslahi ya taifa pamoja na kuhifadhi mazingira. Hatua hii, ingawa imeibua hisia mchanganyiko, inafuata mwelekeo wa matukio mengine yaliyowahi kutokea nchini Tanzania na kwingineko duniani, ambako serikali zimechukua hatua za kulinda maliasili na kuhakikisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Katika historia ya Tanzania, serikali imewahi kuchukua hatua kama hii katika maeneo mengine kwa lengo la kuhifadhi mazingira au kuwezesha maendeleo. Mfano wa kwanza ni kuundwa kwa Hifadhi ya Selous miaka ya (1950-1970), ambapo jamii za Wadengereko na Wamatumbi zilihamishwa ili kupisha eneo hilo kuwa hifadhi ya wanyamapori.
Hifadhi hii ni mojawapo ya maeneo ya urithi wa dunia yaliyoko chini ya uangalizi wa UNESCO. Pia, mwaka 1988, jamii ya Waparakuyo wa Kimasai walihamishwa ili kupisha kuundwa kwa Hifadhi ya Mkomazi. Hifadhi hii inajulikana kwa juhudi zake za kulinda wanyamapori, hasa faru weusi. Aidha, uanzishwaji wa Hifadhi ya Taifa ya Tarangire mwaka 1970 ulipelekea kuhamishwa kwa jamii nyingine ya Wamasai kutoka eneo hilo ili kuwezesha utunzaji wa mazingira na uhifadhi wa wanyamapori. Sambamba na hayo, sera ya Ujamaa na Kujitegemea iliyotekelezwa kati ya mwaka 1967 na 1973 ilisababisha kuhamishwa kwa mamilioni ya watu kutoka maeneo yao ya asili kwenda kwenye vijiji vya Ujamaa. Lengo lilikuwa ni kuimarisha utoaji wa huduma za kijamii kama vile elimu, afya na maji, pamoja na kuongeza uzalishaji wa kilimo. Matukio haya yameonyesha kuwa, wakati mwingine, serikali inalazimika kuchukua hatua za kipekee kwa maslahi ya taifa na maendeleo endelevu. Kuhamishwa kwa jamii ya Wamasai kutoka Ngorongoro kwenda Msomera ni mwendelezo wa juhudi hizi za kuhakikisha kuwa maeneo ya urithi wa dunia yanahifadhiwa ipasavyo, wakati huo huo kuwapa wananchi nafasi ya kuishi kwenye maeneo yanayofaa kwa makazi na maendeleo.
Uamuzi wa kuhamisha jamii kwa ajili ya uhifadhi wa mazingira au maendeleo si jambo geni duniani. Nchini Canada kwa mfano, jamii ya Sayisi Dene ilihamishwa katika miaka ya 1950 kwa madai ya kulinda wanyamapori. Huko Brazil, ujenzi wa Bwawa la Belo Monte katika miaka ya 2010 ulipelekea kuhamishwa kwa maelfu ya watu wa jamii za asili ili kupisha mradi huo mkubwa wa nishati. Nchini Lesotho, mradi wa Maji wa Lesotho Highlands ulioanza mwaka 1986 ulisababisha kuhamishwa kwa jamii kadhaa ili kupisha ujenzi wa mabwawa kwa ajili ya uzalishaji wa umeme na usambazaji wa maji kwa nchi jirani. Vilevile, nchini India, mradi wa Bwawa la Narmada uliosababisha kuhamishwa kwa maelfu ya watu ili kupisha ujenzi wa bwawa kubwa kwa ajili ya umwagiliaji na uzalishaji wa umeme. Uamuzi kama huo umetokea China n kwingineko.
Kisheria, uamuzi wa serikali kuhamisha Wamasai unazingatia sheria za kitaifa zinazohusu uhifadhi wa mazingira na maendeleo ya kijamii. Sheria ya Ardhi ya Tanzania na Sheria ya Uhifadhi wa Mazingira zinatoa mamlaka kwa serikali kuchukua hatua za kulinda maeneo ya urithi wa dunia na kuhakikisha matumizi endelevu ya rasilimali. Zaidi ya hayo, Katiba ya Tanzania inatoa haki kwa serikali kuchukua ardhi kwa maslahi ya umma, kwa sharti la kutoa fidia stahiki. Kisiasa, uamuzi huu unalenga kulinda maslahi ya taifa kwa ujumla, kwa kuhakikisha kuwa maeneo yenye thamani kubwa ya kiasili kama Ngorongoro yanahifadhiwa ipasavyo. Pia, unatoa fursa kwa jamii za Wamasai kupata maeneo mbadala yenye huduma bora zaidi za kijamii, kama vile afya, elimu, na maji, ambazo zimekuwa changamoto kubwa katika eneo la Ngorongoro. Wamasai wanamilikishwa ardhi kubwa wanazopewa ili kuwapatia uhakika wa makazi ya kudumu, malisho ya mifugo yao na usalama wa chakula. Mila na tamaduni zao zinalindwa na wataziendeleza.
Kwa ujumla, uamuzi wa kuhamisha Wamasai kutoka Ngorongoro kwenda Msomera ni hatua yenye msingi imara wa kisheria na kisiasa. Ingawa kuna changamoto zinazohusiana na utekelezaji wa hatua hii, Lakini zinafanyiwa kazi ili zoezi liweze kuwa na manufaa makubwa.
Kama ilivyo sawa kwa wana Kizimkazi kuhamia Bagamoyo kwa maslahi ya Taifa na wana Kilimanjaro kuhamia Chato.
 
Kuna kitu bado serikali haikijui au haijakiangalia vizuri, au inakidharau khs jamii za maasai. Na hiki ndo kinaleta frictions hizi zote.

Mkuu hayo mazingira mnayoita mazuri mliyoweka huko Msomera kwa wamasai siyo kipaumbele, na wala siyo mahitaji ya lazima kwao.

Kiujumla serikali ilikuja na changamoto zake halafu ikaziita changamoto za wamasai Ngorongoro, then ikazitafutia ufumbuzi huko Msomera. This was not good approach.

Hayo mazingira mliyoweka huko Msomera siyo ishu kwa wamaasai.

Natamani kuongea sana, natamani mdahalo tuelimishane zaidi, natamani kupaza sauti sana kwa serikali ili ije na mpango mbadala utakaoleta matokeo chanya kwa wamasaai na kwa uhifadhi.
Mkuu, tunaweza kuondelea na mjadala hapa. Mdahalo unawezekana hapa katika post hii. Lete hoja mkuu. Waifahamu Msomera? Au unaona picha ya gazeti nawe unaona ndo Msomera yote hiyo?
 
Back
Top Bottom