Ngorongoro: Kuelewa Uamuzi wa serikali

Ngorongoro: Kuelewa Uamuzi wa serikali

Sorry, the Ngorongoro case is distinguished. In the present case, the government is forcibly relocating the Masai Community in order to create an Arab satellite state. It is a pure case of state sovereignty mutilation. I shall have more to say on this after a careful analysis of the available evidence.
Ni lini mkuu na wapi katıka historia serikali imewahi kuhamisha watu wengi kutoka eneo moja kwenda jingine kwa kuwabembeleza?
 
NISICHOKIJUA NI HIKI: Watu wanahamishwa Loliondo au Ngorongoro? Na kama ni Ngorongoro, Je, wilaya hiyo imefutwa? Nijuze mtaalamu....

Tatizo liko hapo. Kuna DISINFORMATION. Ni kweli kwamba chini ya ibara ya 30 ya sheria ya serikali za mitaa serikali inayo mamlaka ya kisheria ya kufuta mipaka ya tarafa, and kata na vijiji.

Neno kufuta linamaanisha kubadilisha mipaka ama kwa kugawanya eneo moja kuwa maeneo mawili au kuunganisha maeneo mawili kuwa eneo moja.

Lakini hilo neno halina maana kwamba serikali hiyo inayo mamlaka ya kisheria ya kufuta maisha ya wananchi wanaoishi katika maeneo ambayo mipaka yake inabadilishwa.

Hivyo, kukaa kwa kuwa Wakazi wa vijiji hivi walikuwepo kabla ya serikali kuwepo, wao ndio chimbuko la serikali, na serikali haina mamlaka ya kuwafuata.

Kubwa: Muungano wa vijiji, kata na tarafa ndio unaunda nchi.

Kama ni hivyo, tamko la serikali ni batili kisheria na kikatiba na ni aibu tupu!
 
Sorry, the Ngorongoro case is distinguished. In the present case, the government is forcibly relocating the Masai Community in order to create an Arab satellite state. It is a pure case of state sovereignty mutilation. I shall have more to say on this after a careful analysis of the available evidence.
This is very serious allegation, please could you be kindly enough to share the evidence you have concerning with the above?
 
Joseph Ludovick mambo , ni hivi unapoint kiasi chake na huna point zote kiukamilifu , jiulize uongozi wa kwanza hadi wa kikwete hawajawatoa kule mbugani na mfano hai mbona ni wamasai ndio hamuwataki kila mahali.

Zanzibar mnawakataza kuishi kwa amani sijui wanatishia wenzao baharini oh wasitembee na sime mkazozana wee nao hadi ikaisha . Haya sasa mkaendelea na migogoro ya mazao na mifugo mkawaandama hadi mkaona mmetosheka.

Hivi nyie mnapango na wamasai wafee kwa stress au ni wivu kwa maana ni kabila pekee linalo tambulika afrika lenye mvuto kitamaduni , na jinsi wanavyoishi ukiangalia documentaries nyingi wanawasema wao .mmejaribu nyie sijui zanzibar blah blah zero , lazima msemwe nyie waswahili mmejulikana kwasababu ya wamasai. Mmeshapata umaharufu sasa mnawapeleka sehemu hawajazoea sio vizuri ubaguzi mnauendekeza if ni hivyoo basi watoeni na wahadzabe . Sio kuangalia upande mmoja. Mnachosha .

Kingine ili mjue kuwa nyie mna wivu . Mbugani huko kuna kabila 3 wanaishi humo na wanawinda wanyama ndio milo yao japo wengine wanalima mazao.

Kule ukiacha wamasai , kuna Hadzabe mbona hamuwatoi huko mbugani nakuwapeleka handeni . Au kwa maana sio wamasai . Dagota tribe mbona hamuwaoni wanaleta shida na global warming muwatoe huko pia mmewaona tu wamasai mnavisa na wamasai.

Msiwachukie wao niwa tanzania . Na hakuna mtakachowafanya Maana Mungu yupo.
 
Nimeona umeitaja selous...ambayo kwa sasa ni nyerere national park....sidhani kama umeshawahi kufika ama kufuatilia vizuri ndani ya hifadhi hiyo kinafanyika nini.?

Unawatoa wamasai Ngorongoro, then unaacha warusi wanafanya wanayoyafanya hapo selous...ndani ya hifadhi ya nyerere.
Hiyo ndiyo shida yetu. Tunahamisha watu, then zinafanyika biashara za viongozi
 
Ni Mali ya Wananchi sio Tanzania. Serikali inasimamia Ardhi kupitia Rais kwa niaba ya Wananchi. Wamasai nao ni wananchi sio wakimbizi.
peleka huko ngonjera zako mtu hujui Tanzania nini, watu wangapi wameshaondolewa maeneo yao kwa ajili ya miradi ya kitaifa. Waachwe kuharibu ardhi na mifugo yao bila hesabu mbona Morogoro walikula kichapo kwa kuharibu mashamba yao. Ardhi ikigundulika kuna madini na serikali inataka kuchimba unapewa fidia unaondoka kama ulikuwa kihalali ni sheria hizo.
 
Uamuzi wa serikali wa kuhamisha jamii ya Wamasai kutoka Ngorongoro kwenda Msomera ni hatua yenye msingi wa kisheria na kisiasa, inayolenga kulinda maslahi ya taifa pamoja na kuhifadhi mazingira. Hatua hii, ingawa imeibua hisia mchanganyiko, inafuata mwelekeo wa matukio mengine yaliyowahi kutokea nchini Tanzania na kwingineko duniani, ambako serikali zimechukua hatua za kulinda maliasili na kuhakikisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi.

Katika historia ya Tanzania, serikali imewahi kuchukua hatua kama hii katika maeneo mengine kwa lengo la kuhifadhi mazingira au kuwezesha maendeleo. Mfano wa kwanza ni kuundwa kwa Hifadhi ya Selous miaka ya (1950-1970), ambapo jamii za Wadengereko na Wamatumbi zilihamishwa ili kupisha eneo hilo kuwa hifadhi ya wanyamapori.

Hifadhi hii ni mojawapo ya maeneo ya urithi wa dunia yaliyoko chini ya uangalizi wa UNESCO. Pia, mwaka 1988, jamii ya Waparakuyo wa Kimasai walihamishwa ili kupisha kuundwa kwa Hifadhi ya Mkomazi. Hifadhi hii inajulikana kwa juhudi zake za kulinda wanyamapori, hasa faru weusi.

Aidha, uanzishwaji wa Hifadhi ya Taifa ya Tarangire mwaka 1970 ulipelekea kuhamishwa kwa jamii nyingine ya Wamasai kutoka eneo hilo ili kuwezesha utunzaji wa mazingira na uhifadhi wa wanyamapori.

Sambamba na hayo, sera ya Ujamaa na Kujitegemea iliyotekelezwa kati ya mwaka 1967 na 1973 ilisababisha kuhamishwa kwa mamilioni ya watu kutoka maeneo yao ya asili kwenda kwenye vijiji vya Ujamaa. Lengo lilikuwa ni kuimarisha utoaji wa huduma za kijamii kama vile elimu, afya na maji, pamoja na kuongeza uzalishaji wa kilimo.

Matukio haya yameonyesha kuwa, wakati mwingine, serikali inalazimika kuchukua hatua za kipekee kwa maslahi ya taifa na maendeleo endelevu. Kuhamishwa kwa jamii ya Wamasai kutoka Ngorongoro kwenda Msomera ni mwendelezo wa juhudi hizi za kuhakikisha kuwa maeneo ya urithi wa dunia yanahifadhiwa ipasavyo, wakati huo huo kuwapa wananchi nafasi ya kuishi kwenye maeneo yanayofaa kwa makazi na maendeleo.

Uamuzi wa kuhamisha jamii kwa ajili ya uhifadhi wa mazingira au maendeleo si jambo geni duniani. Nchini Canada kwa mfano, jamii ya Sayisi Dene ilihamishwa katika miaka ya 1950 kwa madai ya kulinda wanyamapori.

Huko Brazil, ujenzi wa Bwawa la Belo Monte katika miaka ya 2010 ulipelekea kuhamishwa kwa maelfu ya watu wa jamii za asili ili kupisha mradi huo mkubwa wa nishati.

Nchini Lesotho, mradi wa Maji wa Lesotho Highlands ulioanza mwaka 1986 ulisababisha kuhamishwa kwa jamii kadhaa ili kupisha ujenzi wa mabwawa kwa ajili ya uzalishaji wa umeme na usambazaji wa maji kwa nchi jirani.

Vilevile, nchini India, mradi wa Bwawa la Narmada uliosababisha kuhamishwa kwa maelfu ya watu ili kupisha ujenzi wa bwawa kubwa kwa ajili ya umwagiliaji na uzalishaji wa umeme. Uamuzi kama huo umetokea China na kwingineko.

Kisheria, uamuzi wa serikali kuhamisha Wamasai unazingatia sheria za kitaifa zinazohusu uhifadhi wa mazingira na maendeleo ya kijamii. Sheria ya Ardhi ya Tanzania na Sheria ya Uhifadhi wa Mazingira zinatoa mamlaka kwa serikali kuchukua hatua za kulinda maeneo ya urithi wa dunia na kuhakikisha matumizi endelevu ya rasilimali.

Zaidi ya hayo, Katiba ya Tanzania inatoa haki kwa serikali kuchukua ardhi kwa maslahi ya umma, kwa sharti la kutoa fidia stahiki.

Kisiasa, uamuzi huu unalenga kulinda maslahi ya taifa kwa ujumla, kwa kuhakikisha kuwa maeneo yenye thamani kubwa ya kiasili kama Ngorongoro yanahifadhiwa ipasavyo.

Pia, unatoa fursa kwa jamii za Wamasai kupata maeneo mbadala yenye huduma bora zaidi za kijamii, kama vile afya, elimu, na maji, ambazo zimekuwa changamoto kubwa katika eneo la Ngorongoro. Wamasai wanamilikishwa ardhi kubwa wanazopewa ili kuwapatia uhakika wa makazi ya kudumu, malisho ya mifugo yao na usalama wa chakula. Mila na tamaduni zao zinalindwa na wataziendeleza.

Kwa ujumla, uamuzi wa kuhamisha Wamasai kutoka Ngorongoro kwenda Msomera ni hatua yenye msingi imara wa kisheria na kisiasa. Ingawa kuna changamoto zinazohusiana na utekelezaji wa hatua hii, Lakini zinafanyiwa kazi ili zoezi liweze kuwa na manufaa makubwa.
Wambie waendelee kukaa ofsini wasifiana mambo yanaharibika kwa wanachi ipo siku mtatoka ofsini kwa maandamano
 
Sidhani kama taratibu na elimu ingetolewa kwa ufasaha hawa watu wangekataa kuhama, ila hapa kuna tatizo la uelewa, kwa mfano wana harakati wengi wanaeneza propaganda kuwa serikali wanataka kuwahamisha wamasai ili ili eneo wauziwe wa Arabu, hizi propaganda zisipoweza kuzuiwa zitaleta picha mbaya kwa serikali ingawa hata hivyo serikali yenyewe watu wamekosa imani nayo kwa vitendo vingi inavyo fanya. Hili eneo kwa ujumla ni Dogo na watu wanaongezeka siku kwa siku ni mawili aidha hifadhi ifutwe au watu waamishwe.. Kufuta hifadhi ni hasara kubwa sana kwa Taifa ila Tanzania bado inamaeneo mengi na mazuri swala la kung'ang'ania eneo moja kisa kwamba ni kwa kuwa ni eneo letu la asili sidhani kama lina tija kwa Taifa. Tatizo kubwa ktk eneo hili ni makundi makubwa yavmifugo ambao inawezekana hata wengine si wenyeji wa huko. Kikubwa serkali itumie taratibu nzuri kuwahamisha hawa wenyeji kama wanazozichukua. Nguvu ilitumika kuwahamisha watu enzi ya ujenzi wa vijiji vya ujamaa hivi sasa ushawishi na elimu ndiyo muhimu ili, yasetokee maafa na vurugu.
 
Wawekezaji lazima wapewe maeneo tupate hela ya Noah kwa kila Mtanzania.
 
Back
Top Bottom