Ngorongoro: Kuelewa Uamuzi wa serikali

Wewe ukiwa na plot Masaki au Mbweni utaweka zizi la ng'ombe? ardhi ni mali ya Tanzania sehemu yenye maslahi ya taifa italindwa wamasai sio kwamba hawana productivity yoyote kwenye ardhi yenye rasilimali ya taifa wao wanajaza mifugo bila mpangilio baya zaidi wanapokea wamasai wa Kenya wengi wamekosa kwao sehemu za kufuga, wacha waingine Kenya masai mara tuone kama wanaweza. Ardhi yoyote ikigundulika ina madini au mafuta mtapewa tu compensation itabidi mpishe kazi za kiuchumi zifanyike.
 
Wanasaidiwa kutolewa kwenye ujima,
 
Kuna watu humu ndio wanajifanya wanajali sana wamasai toka lini? JPM aliwavunjia watu nyuma Kimara mlikuwa wapi kimyaa wapumbavu nyinyi leo ndio kimbelembele Wa Masai fyoookoo.

Hakuna ardhi ya kabila yoyote na wao wamasai wakienda mahakamani tunapima DNA wote 80% tutakuta ni wa Kenya tuwarudisha Namanga warudi kwao na mifugo yao.

Nyinyi kila kitu ni kupinga tu mmepinga bandari na ngonjera zenu kiko wapi. Serikali za mitaa wanachukuwa CCM, 2025 wanachukua sasa roho nyeusi mipaka iko wazi ya Kenya.
 
Sema tu huwafahamu vizuri wamasai,wao wanajali tamaduni zao zaidi. Hawajawahi shindwa kujenga nyumba unazoziita wewe bora
 
Hizo huduma zote wakapewe Wazanzibar ili waamie Tanga. Kisiwa kiwe huru kwa masuala ya utalii tu na utunzaji wa bahari.
 
Kuwaswaga Wamasai kama Mifugo kutoka kwenye Ancestral Lands za Mababu zao sio POA kabisa.
 
Kajifunze uandishi ndo uje kupangilia huu upumbavu wako.
 

Manufaa kwa mwarabu? kila eneo nyeti mnaweka "wajomba" zenu!!!

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Kiongozi, naona kama ulipotea kwa muda mrefu! Karibu tena.
 
Angalau unaonekana una hoja japo hukuiweka wazi,,,watu wengine wanaishia kutukana tu badala ya kujibu hoja.
 
Kusoma sio priority kwa wamasai, je ungependa Serikali isiwawekee miundombinu ya elimu? Yaani kama kila Kabila au jamii litaachwa na vipaumbele vyake ndio tutaendelea kuwa na taifa kweli? Kule pwani wazaramo na wandengereko waendelee kucheza unyago wao na kisha wawaachishe watoto kusoma kisa kipaumbele chao sio elimu bali Ngoma l, sivyo?

Hivi nyie watu vichwa vyenu mmejaza nini? Mbona mna ma GPA makubwa lakini ni wajinga kabisa?
 
Tatzo sio kuwahamisha Wamasai tatzo ni sababu za hao masai kuhamishwa, Why taking people to another area without any beneficial reasoning behind nyie mnahamisha masai ili mchimbe madini ambayo hayataifaidisha taifa hili chchte.

Watu wanapiga kelele kwa sababu mnawagawia ardhi waarabu ni hvo tu.
 
Unesema yote kabisa, sina cha kuongeza
 
Ngoja nikuache tu sababu hutaki mjadala, unalazimisha yako ndo yawe sahihi
 
Utamaduni unaendelezwa katika mazingira yake ya asili, hii ni pamoja na matambiko yanayoenda na mila na desturi za watu katika eneo husika. Unaposema kuwa wamasai wa Ngorongoro watahamishiwa sehemu nyingine, unafikiri utakuwa una nia ya kuendeleza utamaduni au kuendeleza utamaduni wa wafadhili na wewe utanufaika kwa kupiga debe na kuzawadiwa cheo na marupurupu? 😳 🤔🤔
 
SERIKALI TUMEIPA MAMLAKA YA KUAMUA KWA NIABA YETU,UFIFADHI WA MBUGA ZA WANYAMA NI SUALA LA KITAIFA,SERIKALI ISONGE MBELE,KELELE ZA WAJINGA HAZINA MPANGO WOWOTE.
 
Kama ilivyo sawa kwa wana Kizimkazi kuhamia Bagamoyo kwa maslahi ya Taifa na wana Kilimanjaro kuhamia Chato.
 
Mkuu, tunaweza kuondelea na mjadala hapa. Mdahalo unawezekana hapa katika post hii. Lete hoja mkuu. Waifahamu Msomera? Au unaona picha ya gazeti nawe unaona ndo Msomera yote hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…