John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Watu wawili wakazi wa Olodonyokeri, Kata ya Ngorongoro Mkoa wa Arusha, wamejeruhiwa na radi wakiwa machungani na kusababisha majeraha sehemu mbalimbali za miili yao.
RPC wa Arusha, ACP Justine Masejo amesema chanzo cha tukio hilo ni matumizi ya simu wakati wa mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha.
Waliojeruhiwa ni Sasine Narokababu (25) na Kishuya Teryakiyomi (28), ambapo walikimbizwa katika Zahanant ya kijijini hapo kupatiwa matibabu.
Uchunguzi umebaini kuwa chanzo cha tukio ni matumizi ya simu wakati mzua kubwa ikinyesha huku ikiambatana na radi kali.