π·π·Mechi saa 4.. haiikisha umevaa barakoa[emoji1]
Tatizo la hawa watoto ni moja tu.Mpira wa Ngorongoro sio mbaya sana, wana mpira mzuri sana.. Kocha akiwapanga vizuri wanatoboa.
1. Hakuna siku ambayo possesion imekuwa below 50%
2. Pass accuracy siku zote imekuwa above 50%
3. Wana talent za kutisha kama Kameta (Duchu) Laurent , Sopu , Kelvin, Vonatus Dismas ( timu yake ya wakubwa inacheza europa league), Ally Msengi, etc.
Wanacho hitaji ni kuongeza ushirikiano na akili ya maamuzi.
Tatizo la hawa watoto ni moja tu.
Hawana ushirikiano wakati wanashambulia.
Yaani kila dogo mmoja anapo kwenda kushambulia haamini kama kuna mwenye uwezo wa kubadilisha matokeo zaidi yake.
Na kama wataendelea na ujinga huu,[emoji1][emoji1][emoji1] wanamzuka wa kwenda ulaya, talent zipo za kutosha..
Unacho kisema ni kweli kwa sababu wangekua wanampa pasi Kelvin John ambaye anaonekana kuzurura tuu pale mbele bila mpira saizi wangekua wamesha qualify kitambo.
Team work na preority ndio shida ya hawa watoto.
Mpira wa Ngorongoro sio mbaya sana, wana mpira mzuri sana.. Kocha akiwapanga vizuri wanatoboa.
1. Hakuna siku ambayo possesion imekuwa below 50%
2. Pass accuracy siku zote imekuwa above 50%
3. Wana talent za kutisha kama Kameta (Duchu) Laurent, Sopu, Kelvin, Vonatus Dismas (timu yake ya wakubwa inacheza europa league), Ally Msengi, etc.
Wanacho hitaji ni kuongeza ushirikiano na akili ya maamuzi.
Agiri Aristides Ngoda yupo na anaaminiwa na timu kubwa ya Stade Malien Bamako kucheza michuano ya CAF wakati huku Tanzania tumamuita "dogo" hafai kuchezea first eleven ya Azam, Simba, Young Africans, Taifa Stars!
Tatizo la hawa watoto ni moja tu.
Hawana ushirikiano wakati wanashambulia.
Yaani kila dogo mmoja anapo kwenda kushambulia haamini kama kuna mwenye uwezo wa kubadilisha matokeo zaidi yake.
Ni kweli, wanapiga mpira safi. Inabidi wachezaji hawa walirudi nyumbani wapewe nafasi ktk first eleven team za ligi kuu Tanzania badala ya kuwaita ooh madogo hawa n.k
Wenzetu uzoefu wa mashindano haya hata "dogo" wa miaka 16 anaweza kuitwa kuitumikia Taifa stars yao.
Kwanini tunawabania na kuwachelewesha "madogo" wetu wa miaka 17, 18,19,20 kucheza timu ya wakubwa eti mpaka wakifikisha miaka 28 ndiyo tunawaamini?
Hawa Ngorongoro Heroes tayari wamekomaa waingizwe na kupewa namba Taifa Stars na timu kubwa za ligi kuu ya Tanzania moja kwa moja. Kucheza michuano hii tayari wamekomaa tena tumewachelewesha sana kina Kelvin John "Mbape" wetu wa Bongo.
Kiukweli tu niache unafiki wee umesema la maana,.Tatizo ni mfumo wa soka Tanzania, hawa wangekuwa tayari wanachezea klabu za ligi kuu ya Tanzania, mapungufu haya hayangekuwepo. Tunawachelewesha sana kuwaita "madogo" wakati walitakiwa wameshacheza mechi ktk ligi kuu yetu zaidi ya michezo 60 .
Tufumue mawazo mgando na kuwaamini wawezee Namungo, Azam, Simba, Kagera, Coastal Union, Ruvu katika mechi za ligi kuu hata wakiwa na miaka 16, 17 na wakifika miaka 19 na 20 wanakuwa wachezaji hatari tajwa siyo ndani ya Tanzania tu bali hata Afrika na Ulaya.